Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kazi ya mke ni kuzaa na kulea! Mbona unasahau kirahisi hivi, au hukufundishwa kuwa mke anazaa kwa uchungu na jukumu la kulea ni lake? Na unadhani kulea ni nini hasa...cariha acha kuangusha wachaga bwana, mbona wengi wanajua kulea sana tu! Au umagharibi umekutawala eti?
Kuzaa ni pamoja na kulea mbona sivo ka ulivo fikiria
 
Huo ndo ukweli mkuu

Ukweli usioweza kuthibitishwa! [emoji3][emoji3]

Ondoa kabisa hiyo notion akilini mwako!

Unayemuona hakufai ujue kuna mwenzio anamuotea ampate nafsi yake ifurahi.

Haya mambo hayanaga kanuni ya kufanana.

Wanasema uzuri wa mtu u machoni pa mtu.

Huyo unaemuona humuelewi mwenzio akikubaliwa na kumpata anaona ni neema na bahati kumpata [emoji108]

Hao wenye tabia za kimalaya na kudanga ukiwananga yaweza kuwa Sawa sababu ni mambo ya kujitakia wenyewe lakini kujaribu kutasema vibaya Eti sura zao mbaya hapo utakuwa unakosea sana sababu wamejikuta wamezaliwa na kuumbwa hivyo na Mungu na kazi ya Mungu haianaga makosa.

Kama wamefanana na baba zao Kwani wao ndio walichagua kuzaliwa na baba wenye sura hizo unazoita mbaya?

Fahamu kuwa kuwa kila mwanamke ni mzuri wa aina yake.

Kuna wengine utawaona kwa nje ukazani wazuri kumbe wako baridi hawanaga utamu ule wa hasa [emoji108]

Wengine ukazani wazuri kumbe wajeuri na viburi mpaka utachoka mwenyewe [emoji108]

Hao ambao unaoweza usiwaelewe ikawa kinyume chake ukimuonja utachanganyikiwa!

Kwa ujumla wake heshimu watu wote epuka kukosoa uumbaji wa Mungu.

Kuwa na mtazamo chanya tu na upendo wa agape !
 
Mwanaume machine napo msingi, ukiwa unampiga mkeo mkuyenge na kumkojoza hata kugombana kutaisha kabisa
Unadhani mwanaume ni robot au mwanamke ni sex toy! Kuna wakati inabidi akili iwekwe katika kusaka mbesa! Hapo hata kwa winchi la makambaJR 'mwanaume mashine' inasikika kwa majirani!
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini.... Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa... Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo.... Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Kwani hakuna Housegirl mpaka mwanaume unaingia jikoni!!!! Kama mama hataki kupika anapika dada wa kazi, kama mama hataki kufua nguo zako zote, dada wa kazi yupo shida nini? Kama mama amechoka kutandika kitanda, unamwita dada wa kazi atandike. Ndiyo maana dada wa kazi lazima alipwe vizuri na umlipe wewe mwanaume!
 
Pamoja na yote haya, mnasahau kuwa kuna kutengana kati ya mume na mke kikazi. Dar na mwingine yupo Dodoma. Mwanaume usipotengeneza mazingira ya kuishi bila mke utapata shida sana. Housemaids wanasaidia sana ili mradi usihitaji K yake.
 
Kuzaa ni pamoja na kulea mbona sivo ka ulivo fikiria
Kuzaa na kulea ni vitu viwili tofauti, watu wanazaa na kuwatupia wazazi wao walee. Swala la malezi ni very complicated, wewe utazaa kwa uchungu na kulea...tena ungekuwa wife nakuchapa mimba duble duble kabisa[emoji23][emoji23]
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini.... Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa... Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo.... Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Kwanza 32yo sio msichana mdogo, huyo ni mama na anatunza familia vizuri tu.

Nakubaliana na wewe kuwa ushamba na ulimbukeni unatukosti wengi, anatoka mazingira magumu, kaanza kukamata 1million+ haukuwahi kuikamata, anaona hakuna wa kumwambia kitu.

Background ya mtu pia inachangia, naweza kukwaza watu Ila aliyelelewa na mzazi mmoja mara nyingi hajui jinsi baba anavyothaminiwa ndani ya nyumba, mama alikuwa ndio mama..ndio mama, mtoto haoni thamani ya baba, hata akiwa na mume hataona thamani yake.
 
Unadhani mwanaume ni robot au mwanamke ni sex toy! Kuna wakati inabidi akili iwekwe katika kusaka mbesa! Hapo hata kwa winchi la makambaJR 'mwanaume mashine' inasikika kwa majirani!

Kwani hakuna Housegirl mpaka mwanaume unaingia jikoni!!!! Kama mama hataki kupika anapika dada wa kazi, kama mama hataki kufua nguo zako zote, dada wa kazi yupo shida nini? Kama mama amechoka kutandika kitanda, unamwita dada wa kazi atandike. Ndiyo maana dada wa kazi lazima alipwe vizuri na umlipe wewe mwanaume!
Hatukatai kuwa eti uwe unafanya tu Hilo tendo bila kufanya kazi, sijawahi ona hyo kitu Yani nyie hamuendi kazini tu ku do tu never seen before, kazi zifanyike na hicho kitendo kifanyike kuliko kukiacha kabisa
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
Wewe unatakiwa mmoja akiwa 2yo unabeba nyingine, unazaa watatu ndani ya miaka sita. Utajua hujui...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo nzuri nikizaa mfululizo wanakuwa pamoja ule ulezi wa utoto unaisha ghafla, tena nilianza kuzaa akifikisha miezi sita nabeba nyingine inakuwa mapacha wa nje
 
Kwani sasa una watoto wangapi?
 
Tuacheni tutoe ya moyoni bwana wala haihusiani na sura nzuri au mbaya ndio maana tunatumia fake identity acheni personal attack.
Hafu huku JF maoni hayapimwi kwa kukazwa vizuri au vibaya, ni jukwaa huru. Mtukome kutuzalilisha wanawake kisa maoni yetu
Wewe cariha inaonekana ushapigwa matukio mengi na hujawahi kua na mahusiano yenye amani kaa chini jiulize..! Hayo yote unayo ongea hum kuhusu wanaume kamwe huwezi pata Mwanaume wa hvo ..! Kama utampata wa hvo inabid ustuke atakua na mapungufu..! Sio unyanyasaji Ni uhalisia wa Mambo .
 
Hahahahahahah yani mwanamke anakuwa kama kaolewa na kazi yake😅!

Mume ndio priority ila yeye anaona mume ndio option boss ndio priority. Kimsingi ukiweza kumuachisha mke kazi aache tu akae home!😅
Hawa wenzentu ni kuwawahi mapema ukisema usubiri itafikia hatua ataona ni bora muachane kuliko yeye kuacha kazi.
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Pole mkuu kabla hujamuoa hujawai kuona hivi vitabia kipindi Cha uchumba zile moment za sleepover?
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
I smell inferiority......
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
Anafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini.... Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa... Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo.... Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Kikubwa ni background ya wanawake, ukilazimisha kuoa mwanamke eti kwasababu umempenda licha ya kuona ana tabia za kijinga kama vile uchoyo, roho mbaya, ujuaji, tamaa ya maisha mazuri na wakati hana nyenzo za kumfikisha kwenye hayo maisha, mshirikina na kuna wengine unakuta wanatokea kwenye familia za kijinga kabisa baba mhuni mama changu.

Hâta humu Jf kupitia comment unaona kabisa kuna wanawake "much know" wanaodharau wanaume ilhali hawana vitu, yani ka mtu kanaamua tu kujibu vibaya as long as kanaona kama chat na mwanaume ili kaonekane ni shupavu.
 
Back
Top Bottom