Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Unahangaika na feminist , wazee wa vibomba na kukoboana. Kwao thamani ya mwanaume haionekani, kwao ndoa ni kichaka cha kujipatia heshima kwenye jamii.Sasa si asingeoa tu ikajulikana.
Pole mkuu kabla hujamuoa hujawai kuona hivi vitabia kipindi Cha uchumba zile moment za sleepover?
Napenda watoto sana mkuuz hata sina tatizo...mimi nikifika home jioni ni watoto tu! Labda useme mambo yawe magumu kiuchumi, otherwise hata kumi we nizalie tu[emoji39]Anafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
Usipokula umeshiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This made my night
Kuzaa sio kazi. Kulea ndio kazi ndio maana wanawake wengine wanatumia madawa ya uzazi wa mpango. Kama na wewe ni part and parcel ya kulea mtoto hasa kichanga sawa. Lakin sio mtoto mwenye meno anajua kusema 'nina njaa' ndio useme unapenda kuleaNapenda watoto sana mkuuz hata sina tatizo...mimi nikifika home jioni ni watoto tu! Labda useme mambo yawe magumu kiuchumi, otherwise hata kumi we nizalie tu[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] Siri yanguKwani sasa una watoto wangapi?
Keep guessing tu humu JF wanaume mkishindwA hoja huwa mnaanza kuchafua wanawake, humu kila jina baya, so jibuni hoja acheni ujinga wa kupigwa matukio Niko happy na mahusiano na I can choose anybody I want, na sifungwi na vitu visivo vya kijinga jinga mkuuWewe cariha inaonekana ushapigwa matukio mengi na hujawahi kua na mahusiano yenye amani kaa chini jiulize..! Hayo yote unayo ongea hum kuhusu wanaume kamwe huwezi pata Mwanaume wa hvo ..! Kama utampata wa hvo inabid ustuke atakua na mapungufu..! Sio unyanyasaji Ni uhalisia wa Mambo .
[emoji23][emoji23][emoji23] Ili kukwepa kero za watotoAnafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
Unaoa sio kutafta house girl unaoa mwenzi wako, ka ni hivo siuajiri domestic worker akusaidieSasa si asingeoa tu ikajulikana.
Mimi napenda watoto, wee elewa hivyo...yani tena hao wachanga na wadogo ndio wazuri kwangu.Kuzaa sio kazi. Kulea ndio kazi ndio maana wanawake wengine wanatumia madawa ya uzazi wa mpango. Kama na wewe ni part and parcel ya kulea mtoto hasa kichanga sawa. Lakin sio mtoto mwenye meno anajua kusema 'nina njaa' ndio useme unapenda kulea
Kabisa, na wenye akili ndiyo sisi.Usioe tu mkuu, ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hisia zangu nyingi ziko hapo hii ilikuwa siri yangu miaka yote sasa imejulikana[emoji1732][emoji1732][emoji85]Aisee, hapo alidhamiria kabisa. Shingo ni very sensitive, lazima hisia zije, Ila inategemea mapenzi yenu niaje, wengine hata kushikana mikono hawawezi, sembuse kuchum shingo.
Apite shem Makiwendo aone ulivyoharibu mambo kwa kubusiwa shimgoni[emoji125][emoji23]
Tunaoa wanawake wanaojitambua bila kujali ni mama wa nyumbani au corporate.Ni simple tu mkuu wangu,oa mwanamke mama wa nyumbani ili afanye kulea familia vizuri.
Hata kuna tabia za wanaume pia hazibadilishiki. Ndio maana kwa wanaume walevi watu wengine wanaenda extra miles mpaka kuwekeana ute wa mayai ndan ya boxer au mwanaume anayependa totoz [emoji23][emoji23][emoji23]Kosa kubwa huwa lipo kwenye tabia za asili za wanawake ambao tuna chagua, na wengine unakuta wameziona kabisa ila kwakua amevutiwa na sura na tako anaamua kumuweka ndani akiamini kuwa atambadilisha[emoji23]. Na hili linaletwa na udhaifu wa wanaume kwa kuona kwamba akimuacha huyu hawezi pata mwingine.
Guys hivi kuna mtu wa kumbadilusha tabia mwanamke wa kileo? Uchoyo, Ulevi, Umalaya, Ushirikina, tamaa ya maisha mazuri hivi hizi ni tabia za kuzibadilisha?
Pole sanaWadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Jamani huyo mwanamke ni mtoto wa mwenzio etiHilo janamke la aina hii uliliokota wapi[emoji57][emoji57][emoji57]
Weee hebu tulia huko...ukimpiga mkeo inatosha naona mkono unakuwasha unataka kutupigia wadogo zetu humuYeah for sure hua unanikera sana unapojifanya mjuaji kutetea hata ujinga kisa utetea tu gander yako. Hua natamani ungekua karibu nikuboost kofi moja akili ikukae sawa.
Mjinga Ni wewe na hauko happy wala nn ..atii I can choose [emoji23]Keep guessing tu humu JF wanaume mkishindwA hoja huwa mnaanza kuchafua wanawake, humu kila jina baya, so jibuni hoja acheni ujinga wa kupigwa matukio Niko happy na mahusiano na I can choose anybody I want, na sifungwi na vitu visivo vya kijinga jinga mkuu