Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mleta mada utakuwa chimbuko lako ni kutokea kule kanda maalum [emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoleme moja!

Kwa wanyancholi maana si kwa kumpa vipigo hivyo mtoto wa watu!

Naye huko atakuwa anahadithia na kujuta kukosea kuolewa ! [emoji14][emoji14][emoji14]

Sipati picha!
 
Anafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
Napenda watoto sana mkuuz hata sina tatizo...mimi nikifika home jioni ni watoto tu! Labda useme mambo yawe magumu kiuchumi, otherwise hata kumi we nizalie tu[emoji39]
 
Usipokula umeshiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This made my night

Nkamu wanaume wa JF huwa wananishangaza!!

nimetoka huko nimechoka nianze kuhangaika na masufuria, kwa kweli mimi sipiki weekdays.

Ila Jumamosi na Jumapili naingia jikoni vizuri tu.

Kikubwa funga ndoa na rafiki yako, funga ndoa na mtu anaekuelewa na unaemuelewa...mbona ndoa utaiona tamu.
 
Napenda watoto sana mkuuz hata sina tatizo...mimi nikifika home jioni ni watoto tu! Labda useme mambo yawe magumu kiuchumi, otherwise hata kumi we nizalie tu[emoji39]
Kuzaa sio kazi. Kulea ndio kazi ndio maana wanawake wengine wanatumia madawa ya uzazi wa mpango. Kama na wewe ni part and parcel ya kulea mtoto hasa kichanga sawa. Lakin sio mtoto mwenye meno anajua kusema 'nina njaa' ndio useme unapenda kulea
 
Wewe cariha inaonekana ushapigwa matukio mengi na hujawahi kua na mahusiano yenye amani kaa chini jiulize..! Hayo yote unayo ongea hum kuhusu wanaume kamwe huwezi pata Mwanaume wa hvo ..! Kama utampata wa hvo inabid ustuke atakua na mapungufu..! Sio unyanyasaji Ni uhalisia wa Mambo .
Keep guessing tu humu JF wanaume mkishindwA hoja huwa mnaanza kuchafua wanawake, humu kila jina baya, so jibuni hoja acheni ujinga wa kupigwa matukio Niko happy na mahusiano na I can choose anybody I want, na sifungwi na vitu visivo vya kijinga jinga mkuu
 
Anafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] Ili kukwepa kero za watoto
 
Kuzaa sio kazi. Kulea ndio kazi ndio maana wanawake wengine wanatumia madawa ya uzazi wa mpango. Kama na wewe ni part and parcel ya kulea mtoto hasa kichanga sawa. Lakin sio mtoto mwenye meno anajua kusema 'nina njaa' ndio useme unapenda kulea
Mimi napenda watoto, wee elewa hivyo...yani tena hao wachanga na wadogo ndio wazuri kwangu.
 
Aisee, hapo alidhamiria kabisa. Shingo ni very sensitive, lazima hisia zije, Ila inategemea mapenzi yenu niaje, wengine hata kushikana mikono hawawezi, sembuse kuchum shingo.

Apite shem Makiwendo aone ulivyoharibu mambo kwa kubusiwa shimgoni[emoji125][emoji23]
Na hisia zangu nyingi ziko hapo hii ilikuwa siri yangu miaka yote sasa imejulikana[emoji1732][emoji1732][emoji85]


Makiwendo Namuita shost yangu sijui kapotelea wapi[emoji848]
 
Kosa kubwa huwa lipo kwenye tabia za asili za wanawake ambao tuna chagua, na wengine unakuta wameziona kabisa ila kwakua amevutiwa na sura na tako anaamua kumuweka ndani akiamini kuwa atambadilisha[emoji23]. Na hili linaletwa na udhaifu wa wanaume kwa kuona kwamba akimuacha huyu hawezi pata mwingine.

Guys hivi kuna mtu wa kumbadilusha tabia mwanamke wa kileo? Uchoyo, Ulevi, Umalaya, Ushirikina, tamaa ya maisha mazuri hivi hizi ni tabia za kuzibadilisha?
Hata kuna tabia za wanaume pia hazibadilishiki. Ndio maana kwa wanaume walevi watu wengine wanaenda extra miles mpaka kuwekeana ute wa mayai ndan ya boxer au mwanaume anayependa totoz [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuomba Mungu tu umpate ambaye mtaweza kuvumiliana mapungufu yenu no matter what.
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Pole sana
 
Keep guessing tu humu JF wanaume mkishindwA hoja huwa mnaanza kuchafua wanawake, humu kila jina baya, so jibuni hoja acheni ujinga wa kupigwa matukio Niko happy na mahusiano na I can choose anybody I want, na sifungwi na vitu visivo vya kijinga jinga mkuu
Mjinga Ni wewe na hauko happy wala nn ..atii I can choose [emoji23]
 
Back
Top Bottom