Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mzungu wa ukweli aliniambia mna penda hela zao tu hamuwapendi wao halafu mna penda ugovi kupigana
Wewe nawe hii ni chai umeamua kuileta kwa mtindo wa kumsingizia mzungu pori[emoji848][emoji848][emoji16]
 
Sasa hapo unazungumzia suala la malezi na personal attitudes ambazo tunatofautiana

Kuna wanawake wengi ni wasomi na wana nafasi kubwa lakini wakiwa nyumbani wanaacha nafasi zo na usomi wao huko kazini na they be obidient wives, responsible mothers and they play it so nicely

Unajua unaweza kulelewa kwenye maisha ambayo you have been taught to be a woman, lakini ukabadilika kutokana na hali za maisha, vyeo, elimu nk, hao wapo na ndio wanaofanya wanaume walalamike kwamba wanawake wasomi hawafai
Kimsingi usomi is not an issue bali attitude ya mtu tu!

Attitude changes inakuwa affected na mambo mengi sana ikiwemo uchumi na living standards! Watu wana change from being normal to being anti-social sana sababu ya powers na uchumi these days.

Hawa ndio huitwa washamba sasa maana nguvu ya kiuchumi haitakiwi kukufanya kudharau watu au kunyanyasa watu. Mafanikio yako hayatakiwi kubadilisha humanity au nature yako.

Shida iko kwenye ushamba😂 mtu katoka kwao na akili zote akifika mjini anaanza kujiona staa akirudi kijijini kwao hata kusalimia majirani hawezi ananata mbaya!

The same kwa wasomi wakike wenye graduate degrees. Ndio wanaongoza kwa ulimbukeni wengi na kujifanya kazi hawawezi japo sio wote😅
 
Mkienda kwa watu punguzeni usumbufu usio wa lazima.


Pia huwezi jua watu wamekubaliana kuishi vipi,,wewe umehudumiwa bado umekereketwa na mleta kikombe kweli mkuu!
Hahahaha daaah..! Hopefully hizi hoja mnazoleta humu zinaishia humu, ila kama bdo mnazi-practice huko ndani kwenu aaaaaah ni halali baadhi ya wanaume wakimbilie kulalama huku.

Kwamba mgeni kuomba maji akiwa kwako ni usumbufu? Tumekaa watatu sebuleni wewe unachezea simu, mimi na mumeo tunazungumza issue fulanifulani kuhusu utafutaji...nimeomba maji, is it fair unamtuma jamaa aniletee maji ili wewe unendelee kuwa busy simu? Atleast ungekuwa umetingwa na kitu basi, yani simu??? Aaaaaah jamani duh 😄😄.

Ngoja tupunguze usumbufu.
 
Hahahaha daaah..! Hopefully hizi hoja mnazoleta humu zinaishia humu, ila kama bdo mnazi-practice huko ndani kwenu aaaaaah ni halali baadhi ya wanaume wakimbilie kulalama huku.

Kwamba mgeni kuomba maji akiwa kwako ni usumbufu? Tumekaa watatu sebuleni wewe unachezea simu, mimi na mumeo tunazungumza issue fulanifulani kuhusu utafutaji...nimeomba maji, is it fair unamtuma jamaa aniletee maji ili wewe unendelee kuwa busy simu? Atleast ungekuwa umetingwa na kitu basi, yani simu??? Aaaaaah jamani duh [emoji1][emoji1].

Ngoja tupunguze usumbufu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Si rafiki yako alikupa mkuu au?
Mbona kumletea makasiriko dada wa watu na wakati maji ulipewa!?
Hukunywa maji nyumbani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe na nyie mlikuwa mnaongea tu!
Ungeenda kuchukua.
 
Kwanza akikutuma mbele yangu, hâta kama hautafata lazima nikuchane kabla sijaondoka.

Anapata wapi courage ya kukutuma mbele yangu? Hebu tuweni serious kidogo.
Yani shemeji ako ananituma mimi? Dunia itakuwa imefikia mwisho
Nyie mmejua kunichekesha,😂😂😂...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
 
Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]

Mtu anatuma tuma kama ana ukilema hivi[emoji38][emoji38]

Before kuoa, anafua anapika anaosha vyombo na steelwire, lakin akiwa na mwanamke tu ghafla kawa kilema...

Mi hunitumi tumi asee kipuuzi[emoji57][emoji57][emoji57]
Sisi wenyewe tunaenda kwa watu hatutumi tunafata wenyewe Na ikibidi tunapika juu kusaidia
Wenyewe kutuma tuma wabadilike hatupendi kutumwa ,tulitumwa sana tukiwa wadogo
 
Nyie mmejua kunichekesha,😂😂😂...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
Kwa huko Pemba ni kawaida ila kwa sie huku Geita ni nadra sana😅
 
Back
Top Bottom