Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mzungu wa ukweli aliniambia mna penda hela zao tu hamuwapendi wao halafu mna penda ugovi kupigana
Wewe nawe hii ni chai umeamua kuileta kwa mtindo wa kumsingizia mzungu pori[emoji848][emoji848][emoji16]
 
Kimsingi usomi is not an issue bali attitude ya mtu tu!

Attitude changes inakuwa affected na mambo mengi sana ikiwemo uchumi na living standards! Watu wana change from being normal to being anti-social sana sababu ya powers na uchumi these days.

Hawa ndio huitwa washamba sasa maana nguvu ya kiuchumi haitakiwi kukufanya kudharau watu au kunyanyasa watu. Mafanikio yako hayatakiwi kubadilisha humanity au nature yako.

Shida iko kwenye ushambaπŸ˜‚ mtu katoka kwao na akili zote akifika mjini anaanza kujiona staa akirudi kijijini kwao hata kusalimia majirani hawezi ananata mbaya!

The same kwa wasomi wakike wenye graduate degrees. Ndio wanaongoza kwa ulimbukeni wengi na kujifanya kazi hawawezi japo sio woteπŸ˜…
 
Mkienda kwa watu punguzeni usumbufu usio wa lazima.


Pia huwezi jua watu wamekubaliana kuishi vipi,,wewe umehudumiwa bado umekereketwa na mleta kikombe kweli mkuu!
Hahahaha daaah..! Hopefully hizi hoja mnazoleta humu zinaishia humu, ila kama bdo mnazi-practice huko ndani kwenu aaaaaah ni halali baadhi ya wanaume wakimbilie kulalama huku.

Kwamba mgeni kuomba maji akiwa kwako ni usumbufu? Tumekaa watatu sebuleni wewe unachezea simu, mimi na mumeo tunazungumza issue fulanifulani kuhusu utafutaji...nimeomba maji, is it fair unamtuma jamaa aniletee maji ili wewe unendelee kuwa busy simu? Atleast ungekuwa umetingwa na kitu basi, yani simu??? Aaaaaah jamani duh πŸ˜„πŸ˜„.

Ngoja tupunguze usumbufu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Si rafiki yako alikupa mkuu au?
Mbona kumletea makasiriko dada wa watu na wakati maji ulipewa!?
Hukunywa maji nyumbani?[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe na nyie mlikuwa mnaongea tu!
Ungeenda kuchukua.
 
Kwanza akikutuma mbele yangu, hΓ’ta kama hautafata lazima nikuchane kabla sijaondoka.

Anapata wapi courage ya kukutuma mbele yangu? Hebu tuweni serious kidogo.
Yani shemeji ako ananituma mimi? Dunia itakuwa imefikia mwisho
Nyie mmejua kunichekesha,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
 
Sisi wenyewe tunaenda kwa watu hatutumi tunafata wenyewe Na ikibidi tunapika juu kusaidia
Wenyewe kutuma tuma wabadilike hatupendi kutumwa ,tulitumwa sana tukiwa wadogo
 
Nyie mmejua kunichekesha,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
Kwa huko Pemba ni kawaida ila kwa sie huku Geita ni nadra sanaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…