Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Legendary :

"kabla ya kuoa chunguza..."

NAKAZIA
Iyo ni mmuhimu sana mkuu wangu! Lazima ujue familia yake ni watu wa aina gani... Maana Kuna familia ni wana mambo ya kiswahili mkipishana kidogo wanasema unamtesa mtoto wetu au arudi nyumbani... Hawa hawafai chunguza sana mkuu

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Basi wasilalamike, mke kuwekwa ndani hakuondoi hulka ya kike kupenda kusifiwa...jamani Mimi huyu Baba kaniteka hapo tu, naweza kupika akala, akatoka mara unaona SMS, "mke wangu chakula kilikuwa kitamu", guess what, akirudi ananikuta mlangoni nimemuandalia juice ya tende na maziwa....
Wanaume tupeni hamasa, yashibisheni masikio yetu Kwa maneno matamu, maneno tu..
Well spoken....

Maneno matamu yanalainisha moyo, sio mtu mda wote mashushu na vichambo tu..hakuna cha shukran wala nini
 
Unadhani mwanaume ni robot au mwanamke ni sex toy! Kuna wakati inabidi akili iwekwe katika kusaka mbesa! Hapo hata kwa winchi la makambaJR 'mwanaume mashine' inasikika kwa majirani!

Kwani hakuna Housegirl mpaka mwanaume unaingia jikoni!!!! Kama mama hataki kupika anapika dada wa kazi, kama mama hataki kufua nguo zako zote, dada wa kazi yupo shida nini? Kama mama amechoka kutandika kitanda, unamwita dada wa kazi atandike. Ndiyo maana dada wa kazi lazima alipwe vizuri na umlipe wewe mwanaume!
Hata dada wa usaidizi nae ni binadamu mkuu anachoka Kuna time nae anahitaji kusaidiwa!!! Acha mawazo yakizamani.... Ukipika unapungukiwa nini? Kwa mfano unafua nguo za mwanao na mke wako ni raha ilioje tuache ushamba na ukiwa ivyo ndoa lazima ikushinde mzee wangu... Ndoa haitaki ubabe

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa ni background ya wanawake, ukilazimisha kuoa mwanamke eti kwasababu umempenda licha ya kuona ana tabia za kijinga kama vile uchoyo, roho mbaya, ujuaji, tamaa ya maisha mazuri na wakati hana nyenzo za kumfikisha kwenye hayo maisha, mshirikina na kuna wengine unakuta wanatokea kwenye familia za kijinga kabisa baba mhuni mama changu.

Hâta humu Jf kupitia comment unaona kabisa kuna wanawake "much know" wanaodharau wanaume ilhali hawana vitu, yani ka mtu kanaamua tu kujibu vibaya as long as kanaona kama chat na mwanaume ili kaonekane ni shupavu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Hata dada wa usaidizi nae ni binadamu mkuu anachoka Kuna time nae anahitaji kusaidiwa!!! Acha mawazo yakizamani.... Ukipika unapungukiwa nini? Kwa mfano unafua nguo za mwanao na mke wako ni raha ilioje tuache ushamba na ukiwa ivyo ndoa lazima ikushinde mzee wangu... Ndoa haitaki ubabe

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Kila mtu na level yake mkuu
 
Pole sana mnajidanganya kwamba a woman cannot be a beauty with brains and her own hard earned money.

Kazee kana machungu haka sijui kaliokotwa mtaani?

#wachagga hawawi hivyo kenge we.
We Bibi beuty with brain unaijua? Haya maneno uliyotapika apa inakudefine kabisa kichwa ako imejaa maji
 
[emoji23][emoji23] shirima aibu yako kukimbiwa na mke sababu ya ulevi na kushindwa kumgegeda Vizuri very shame, Mimi sura yangu personal ndio najikubali sio nyie mnashindwa kugegeda wake zenu na hamna hela[emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume machine.
We mchaga wa kishimundu apa Niko naoshwa miguu na babe mama..! Sura personal unajikubali kwa sababu hamna anaweza kukubali kaa na gubu zako hzo na matusi mdomoni ..! Nimewapiga kwenyewe phaller kabisa
 
Kiufupi kazi za kumsaidia wife pia zipo yani siwezi KUOSHA VYOMBO...KUPIGA DEKI NA KUFUA labda awe anaumwa otherwise atafanya tu hasa ikitokea beki 3 akizingua akasepa na mimi mwanamke wangu sio Mvivu na anapenda Usafi pia anajua kupika sana.

Kuna vitu kama kujipakulia chakula sijui kuletewa maji ya kunywa naona havina mashiko kabisaa vifanyike kwa mahaba sio kwamba ndio utaratibu hapana. Msome mwanamke wako kabla ya kumuweka ndani tengeneza mazingira ya yeye kufanya hizo kazi kabla hujamuoa ASIPOLALAMIKA bhasi huyo umepata ila ukipata mwanamke hata Kutandika kitanda kazi yani utaosha vyombo na kuwa beki tatu ukimuoa.
 
Na ndo sababu nikasema ushamba mkuu! Ogopa sana kuwa na mke mwenye mashosti ni hatari kwa afya ya ndoa... Mke wangu mimi ndo rafiki ake yani akitoka job anakuja officen kwangu tunakaa mpaka muda wakufunga ndo tunasepa dereva wake kazoea anamshusha hapo officen kwangu yeye Mbele....!!!! Kuwa na Pesa au elimu haimaanishi usimize wajibu kama mke au mama lakini wanahitaji msaada wetu zaidi" yani usimfanye mtumwa na wewe saidia kama anapika wewe fua maana sisi ndo tinavyoishi om dada ni kwaajili ya mtoto na vikazi vidogo vidogo lakini izo heka heka nyingine tunasaidiana!!!! Sasa sijui maybe na mimi ipo siku nitayaona haya yanasemwa hapa ya wasomi

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu
Naona mke amekukamata vilivyo...mume anaanzaje kufua na kupika ikiwa mke yupo mzima wa afya kabisa?
 
We mchaga wa kishimundu apa Niko naoshwa miguu na babe mama..! Sura personal unajikubali kwa sababu hamna anaweza kukubali kaa na gubu zako hzo na matusi mdomoni ..! Nimewapiga kwenyewe phaller kabisa
Tatizo wengi wao hâta kabla hawajaolewa walikuwa wameshazoea vibomba na kukoboana, kwahiyo swala la kujipinda ilu uwairidhishe ni sawa na kubeba mahi kwenye tenga.
 
Back
Top Bottom