Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Imenigusa SANA maana na mm last month NIMEACHANA RASMI na wife.
 
Iyo kweli changamoto, asa mkuu ungemuachisha Kazi Ili afanye tu Kazi za Nyumbani tu km unavyotaka ww.... Ila ukae ukijua kuwa mwanamke anayefanya Kazi awez kuwa sawa na mwanamke ambaye ni mama wa Nyumbani. Mama wa Nyumbani ana muda mwingi sn na wa kutosha kufanya Kazi zote za nyumbn tena kwa wkt. Lkn mama anayefanya Kazi na kuchelewa kurudi Nyumbani ni lazima tu atafanya Kazi baadhi, hawez kumudu kufanya Kazi zote kwa wakati km utakavyo.

Labda kama ana tabia zozote zile za tofauti kama kuchepuka nje ya ndoa, au kumuachia beki 3 majukumu yako ww mumewe.
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Ndoa ni pasua kichwa hawa wake zetu basi tu. Mm wangu hana kiburi kabisaaaa, ila mbishi na mzembe kupita kiasi hadi kitandani ni wakulazimisha. Idadi ya mabinti nliotembea nao kabla na baada ya ndoa. Kabla ni mabinti hawazidi 5 baada ya ndoa hata sijui ni wangapi yaan wengi tu mpaka nishawasahau
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dawa kuwa na wanawake wawili au watatu halafu nenda nao sambamba!

Mambo ya kuwa na mwanamke mmoja Ni kujitafutia matatizo.

Ikiwezekana zaa hata kwa Siri na wanawake tofauti tofauti halafu Lea. Maisha ni mafupi mapenzi yasikupotezee muda.
 
But not all women do that.

Kuweka campain ya kuwafanya hawa wanawake wenye elimu zao na ndoa zao hawafai kuolewa ni kosa kubwa.

Ina impact kubwa sana katika maisha ya baadae. So mabinti wasisome, wasifanye kazi.... si tutarudi Stone Age na Bango la a woman's place is in the kitchen?
Wanawake wengi Sana Waliosoma Ni Changamoto Sana!

Nimefanya kazi ustawi wa Jamii Cases nyingi za Ndoa (Matrimonial Proceedings ) Ni za wasomi wanawake. Naongea with evidence.
 
Iyo kweli changamoto, asa mkuu ungemuachisha Kazi Ili afanye tu Kazi za Nyumbani tu km unavyotaka ww.... Ila ukae ukijua kuwa mwanamke anayefanya Kazi awez kuwa sawa na mwanamke ambaye ni mama wa Nyumbani. Mama wa Nyumbani ana muda mwingi sn na wa kutosha kufanya Kazi zote za nyumbn tena kwa wkt. Lkn mama anayefanya Kazi na kuchelewa kurudi Nyumbani ni lazima tu atafanya Kazi baadhi, hawez kumudu kufanya Kazi zote kwa wakati km utakavyo.

Labda kama ana tabia zozote zile za tofauti kama kuchepuka nje ya ndoa, au kumuachia beki 3 majukumu yako ww mumewe.
Kuna jamaa yeye kamfanya mkewe house wife technically.

Iko hivi walioana mara baada ya kumaliza chuo jamaa alitangulia kupata ajira akaoa huyo mtu wake.

Baada ya kuoana sasa ikawa mkewe akiona tangazo la ajira anampa jamaa akapeleke application yake posta basi jamaa akawa hazipeleki anazidump tu.

Ikafika mahali jamaa akawa ok financially akamfungulia miradi mkewe na mama hakuona tena umuhimu wa kuajiriwa so technically ni house wife.
 
Uyo ndiyo alitumia akili sasa. Na sio unashinda kutwa kumpiga tuuu uku miradi hujamfungulia, we kutwa kulalamika tuu. Inakuwa haiingii akilini....
 
I second you. Wanawake sikuhizi wanaweka dada wa kazi training ya maana ya kupika plus usafi kila kitu. Kuingia jikoni mara moja moja especially weekend mume akiwa nyumbani. Hawafui kitu labda nguo za baba za ndani na za kwake. Bado hapo mwanaume atasema ukitoka kazini nataka kula chakula chako na maji unipelekee bafuni wakati kila kitu nyumbani kipo perfect
Sasa kama kila kitu nyumban kiko sawa, kuna sababu gani ya ww kuolewa?
 
Huo uzungu mpelekee baba ako nyumbani kwenu. Ukiolewa lazima ufwate taratibu na sheria ikiwemo kumpikia mume wako. Kama hutaki kupika kaa nyumbani na mama ako ndio mtapangiana zamu za kupika sio kwa mume wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndioo ndioo
Wachapeeee
 
Siwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
Jikite kua demu /mchepuko

Ukiwa mke ni lazima ufanye hayo majukumu , kazi unayofanya kama haikuruhusu kurudi mapema achana nayo
 
The same applies kwa mwanamke! Afanye hayo kama anayafurahia ila kama hafurahii asijilazimishe ndicho tunachokisema hapa na trust me 99% ya wanawake hawafurahii kufanya majukumu mengi kuzidi waume zao sababu mume ndiyo kiongozi na mke ni msaidizi!

Sasa uliona wapi msaidizi ndiyo anafanya majukumu mengi kuliko kiongozi inakuwaje upewe mamlaka makubwa halafu uwe na majukumu madogo kuliko aliyekuwa placed chini yako under which standards yaani? Au hujui kwamba with great power comes great responsibility aloooo?
Ulichoandika hapa umekisoma vizur kweli? Unaweza mlea mmeo ww akae nyumban ww ukatafute pesa??
 
Back
Top Bottom