Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Wakt mwingine mnalelewa kimandazi Sana hvyo pindi wazazi wenu wanavyo ondoka mnakoza muelekeo wengi nimeona jins wanavyoangika na maisha



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizo ni fikra tu, malezi hayana hayo.

Hakuna mzazi anaependa au kutaka mwanawe apate tabu au aharibikiwe.

Picha (exposure) tofauti tunazokumbana nazo kwrnye maisha ndizo zinapelekea watoto zetu walelewe vipi.

Mfano, wewe umekulia kolomije, ukaja mjini ukabahatika kupata kazi, ukaowa mjini, mwanao ukampata mjini, utamlea maisha uliollewa wewe kolomije?
 
hivi hiyu bibi bado yupo?
Huyo huwa ni mbishi mbishi kila thread, pia naonaga kakaa kishari shari.

Inanituma kupata picha yake kama vile maza mmoja mwenye sura mbovu kweli kweli, pia napata picha ni kama vile aliolewa na kuachika au hakuwah kubahatika kuolewa kabisa, hana mtoto (tasa).

Naenda mbele zaidi namuona kama vile ni mmama ambae kwenye ukoo wake haelewan karibia na 90% ya ndugu zake, sababu tu ni mawazo yake mwenyewe kujiona hahitaj kuhusiana na mtu ili aishi, pia wazo la mwanamke kujiamini na kuweza lilikita kwake nguzo.

Mwisho namuona kama mmama ambae sometime anajutia lifestyle yake, anaweza kukaa ndani akaliaaa halaf roho inamwambia badilika kidogo uishi na watu, ile akijaribu tu kubadilika anajikuta anashindwa na kuharibu zaidi maana ashazoea.


Hii hutokea hata Jf hujiapiza ya kuwa sitakaa nikoment Jf tena ila ndo hivyo anajikuta yupo mkiwa inabid aongee na watu asiowaona wala kuwajua, katika yote hayo stress na tabia zake za kuwavuruga anajikuta zinamwandama.

Nimechora picha tu wadau
 
Asante sana Mkuu kwa hii comment,Big up sana.
 
Sahihi kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…