Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kwanza nilidhani anasifia ngozi ya usoniMtoto wa kiume unajisifia ngozi nyororo....
Napambana mkuu.... Ila ndio hivyo mungu hapendi nidhalilikeHufanyi kazi za juani wewe wakishua😀
Kila asienipendea memaMaadui zako ni akina nani ? Au umerithishwa maadui?
😁😁Kwanza nilidhani anasifia ngozi ya usoni
Kumbe mkono… 🤣🤣
Mikono always ni nyororo
Popote pale mwanaume huwezi kujisifia ngozi nyororo.Kwanza nilidhani anasifia ngozi ya usoni
Kumbe mkono… 🤣🤣
Mikono always ni nyororo
Kwani kukupenda ni lazima?Kila asienipendea mema
Wewe ni ME au KE??.una umri wa miaka mingapi??.Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊View attachment 2976599
WANAWAKE MNA KAZI SANA..................... HAPO WENZIO WATAKUJA KUKUULIZA UNAPAKA DAWA GANI....Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊View attachment 2976599