Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊

View attachment 2976599
Hongera kwa ngozi nyororo, kweli kabisa jela hukupewa kazi ngumu mtoto laini laini.
 
Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊

View attachment 2976599
IMG_20210903_132026_300_transcpr.jpg
 
Back
Top Bottom