Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wanaume weusi tunakomenti wapiKuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊View attachment 2976599