MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
- #21
For sure, now I can relateTunasoma ili tubalehe, tufikishe miaka ya kuoa na kuolewa kisheria!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For sure, now I can relateTunasoma ili tubalehe, tufikishe miaka ya kuoa na kuolewa kisheria!
So Sorry, sijaelewa umeandika niniMawazo yako ni finyu sana kaa ujitathmni Tena sana Elimu unasema uliopoteza mda basi sahvi upo mtaani gawa mda wako vizuri wacha fikra za kimaskini na usifanye vitu kuwafurahiSha hao kijijini " maisha hayakupi vitu rahisi ya nakupa vitu halisi"
Katupigusha sana mapindi nikiwa high school pale tosa boys kipindi hiko akiwa mlimani.RRe
Rest in peace T.O Elias kihombo
Kajua hadi kupangilia uandishi vizuri namna hii halafu bado anaona elimu haina maana kwake, huyu sijui awekwe kundi gani.Siku ukipata akili ya kujua kua lengo la shule sio kupata ajira bali kuongeza maarifa, basi huwezi kuendelea kusema ulipoteza muda.
Just imagine,tukiacha elimu ya msingi ambayo ndo muhimu unapoteza miaka minne plus miwili kuhitimu kidato cha sita. Ikiwa ni binti tayari ushavunja ungo na vyombo vingine vya jikoni,ikiwa ni mvulana ushaota nywele hadi maeneo yasiyofikika kirahisi...unaacha kuzaa kuongeza wapiga kura,serikali inarubuni wazazi wauze mifugo ili upelekwe day care in the name of University,miaka mitatu ,minne ama mitano kwa kozi baadhi,hafalu unalipia martenity gown 50k kwa jina la joho ili upewe karatasi inayoitwa shahada. Unarudi nyumbani kusikilizia mchongo na umri ushakupiga kisogo...daah tutafika uzeeni tukiwa tumechoka sana! Na tukifa tunakutana na moto wa milele ukichochewa na nyampara Ben Netanyahu!For sure, now I can relate
Elimu uliyoisoma bado ina umuhimu kwako na itaendeles kuwa ya muhimu na hukupoteza muda darasani. Ukitaka kuamini hayo angalia haya uliyoandika yadhiirisha hukupoteza muda shuleniANGALIZO: Huu uzi hauwahusu wale ambao bado wapo kwenye industry ya Elimu bali ni kwa wale waliokwishatoka nje ya Game tu ⚠️
Ughonile..
kuna muda nikiwa idle nakumbuka muda niliopoteza shule kusoma hususani kuanzia A-Level na University naishiwa nguvu, nikitazama vyeti vyangu, nikiangalia picha nilizopiga maeneo tofauti tofauti enzi nasoma sometimes najutia sana.
Kutoboa kupitia Elimu ya Bongo ni ngumu sana either kwa kuajiriwa au kujiajiri kupitia iyo elimu uliyoisotea miaka yote iyo takriban zaidi ya miaka 15 ni kizungumkuti.
Hata ikitokea umeajiriwa na hiyo elimu yako kutoboa bado ni ngumu unless uwe mtu wa kupiga danadana huko kazini kwako or else uridhike tu na huo mshahara unaokuwezesha kumudu kujenga na kununua kiusafiri chako ingawa still usipoingia Bank/microfinance kukopa pia bado ni mtiani.
nikiangaliaga ivi vyeti vinanifikirisha sana ukizingatia nilivipata kwa tabu sana. Mtaani kwetu na familia kwa ujumla waliwekeza sana kwangu na walikua na matumaini makubwa sana namimi pengine ningekuja kuwa mtu mkubwa sana hapa nchini kutokana na juhudi nilizokuanazo katika kusoma.
Good thing ni kwamba baada tu ya kugraduate chuo niliweza kufikiria nje ya box na mpaka hapa nilipo namshukuru Mungu, sipati picha ningeuface vipi mtaa na jamaa zangu pindi ambapo ningekua naenda kuwatembelea ilhali sieleweki kisa ajira hamna! Inafikirisha sana
Saivi nikienda kijijini nishajiwekea utaratibu nahakikisha niko full equipped (tai ndefu, ndinga japo ya kuazima na vibunda vya kutosha) sifanyi kwa sifa bali nafanya ili wajivunie kijana waliekuwa wamewekeza kwake hajawaangusha na kutowakatisha tamaa ya kusoma wadogo zangu mtaani.
All in all all is well
Vipi wenzangu na mie hali ikoje
Mimi nimesoma Ada afu ishirini, advance afusabini.Mi naona wanaotakiwa kuumia ni wazazi...ada zao wangekupea hata mtaji
Ukisoma uzi vizuri pasina kukurupuka utagundua najutia kuanzia A-level to university. Punguzeni ujuajiKajua hadi kupangilia uandishi vizuri namna hii halafu bado anaona elimu haina maana kwake, huyu sijui awekwe kundi gani.
Iyo form 6 itoe, pure wastage of timetunakoelekea wazazi kabla ya kupeleka tu watoto shule tutakuwa tunakaa chini na kufanya upembuzi mrefu sana.
hasa baada ya kijana kuhitimu 4 au 6
Ni kweli mkuu tatizo huo muda ni mwingi sana kujifunza ivo vitu kupitia mwamvuli wa elimu, it's not worth it.Mleta mada uko sawa kwa upande wako,ila nlitaka niseme tushukuru Mungu kwa kila jambo ingawa hatupati kazi au hatujiajiri kwa tuliyoyasomea ila kupitia Elimu tunakutana na watu mbalimbali kwa urahisi ambapo tunajifunza mengi kuanzia tabia za makabila,Fedha,nidhamu n.k
ANGALIZO: Huu uzi hauwahusu wale ambao bado wapo kwenye industry ya Elimu bali ni kwa wale waliokwishatoka nje ya Game tu ⚠️
Ughonile..
kuna muda nikiwa idle nakumbuka muda niliopoteza shule kusoma hususani kuanzia A-Level na University naishiwa nguvu, nikitazama vyeti vyangu, nikiangalia picha nilizopiga maeneo tofauti tofauti enzi nasoma sometimes najutia sana.
Kutoboa kupitia Elimu ya Bongo ni ngumu sana either kwa kuajiriwa au kujiajiri kupitia iyo elimu uliyoisotea miaka yote iyo takriban zaidi ya miaka 15 ni kizungumkuti.
Hata ikitokea umeajiriwa na hiyo elimu yako kutoboa bado ni ngumu unless uwe mtu wa kupiga danadana huko kazini kwako or else uridhike tu na huo mshahara unaokuwezesha kumudu kujenga na kununua kiusafiri chako ingawa still usipoingia Bank/microfinance kukopa pia bado ni mtiani.
nikiangaliaga ivi vyeti vinanifikirisha sana ukizingatia nilivipata kwa tabu sana. Mtaani kwetu na familia kwa ujumla waliwekeza sana kwangu na walikua na matumaini makubwa sana namimi pengine ningekuja kuwa mtu mkubwa sana hapa nchini kutokana na juhudi nilizokuanazo katika kusoma.
Good thing ni kwamba baada tu ya kugraduate chuo niliweza kufikiria nje ya box na mpaka hapa nilipo namshukuru Mungu, sipati picha ningeuface vipi mtaa na jamaa zangu pindi ambapo ningekua naenda kuwatembelea ilhali sieleweki kisa ajira hamna! Inafikirisha sana
Saivi nikienda kijijini nishajiwekea utaratibu nahakikisha niko full equipped (tai ndefu, ndinga japo ya kuazima na vibunda vya kutosha) sifanyi kwa sifa bali nafanya ili wajivunie kijana waliekuwa wamewekeza kwake hajawaangusha na kutowakatisha tamaa ya kusoma wadogo zangu mtaani.
All in all all is well
Vipi wenzangu na mie hali ikoje
Nakubaliana nawewe kwa 25%, unachojaribu kuongea ni kama myth ambayo haiapply kwa kila mtu aliepita shuleUkweli ni kuwa Elimu ni muhimu sana
Ukiangalia vizuri utajua kuwa hata unachokifanya sasa hivi ni kwa sababu ya Elimu hata kama hutumii ulichokisoma chuoni moja kwa moja;
Kwa Bongo wanaofanya walichokisoma sio wengi sana japo ukweli upo palepale kuwa wengi wamesoma na kupata maarifa ya kufanya vitu vingine
1. Kusoma kunakupa maarifa ya kufikiri nje ya boxi
2. Kuna kukutanisha na watu
3. Kuna kuonesha fursa hata kama huna mtaji
4. Kuna kupa mwanga (exposure) ya kufanya maamuzi kwa usahihi zaidi
5. Wengi wamepata connection za kuwasaidia kupitia marafiki waliowapata chuoni
Katika vitu vya kipuuzi ni elimu ya kidato cha 5&6tunakoelekea wazazi kabla ya kupeleka tu watoto shule tutakuwa tunakaa chini na kufanya upembuzi mrefu sana.
hasa baada ya kijana kuhitimu 4 au 6