Condoms!!Mi nilikuwa natengeneza mifuko ya Rambo. Sometimes nafuma Mpira kwa kutumia condoms bila kujali imetumika ama haijatumika π.
ngara23.
Taiti zilikuwa hazipo zama zetu, wanapiga kyupi na gaguro au kyupi tu so why midume ilikuwa inajazana Chaneta.Anaruka hadi mabeki na tait ya dadaake anaitwa Priscilla, mbona namjua vizur mista vitenga Echolima1 akibisha aje hapa
Zilikuwepo za mtumba zile ndefu kama surual sio hiz za kisasaTaiti zilikuwa hazipo zama zetu, wanapiga kyupi na gaguro au kyupi tu so why midume ilikuwa inajazana Chaneta.
Ujio wa pensi nyanya na tight umeiua Netball maana vidume vilijiondoa.
Mtumba walikuwa wanavaa watu wenye udugu wa karibu na mapadri/masista maana ulikuwa ukitolewa kanisani tu.Zilikuwepo za mtumba zile ndefu kama surual sio hiz za kisasa
Enzi hizo mkiifunga timu ya anayemiliki Mpira basi mwenye Mpira ananuna na kuutia Mpira wake kwapani huyoooo!Condoms!!
Sisi ilikuwa ni tube. ya baiskeli kinakatwa kipande na kufungwa upande mmoja alafu unampa mwenzio ashike uku ukipuliza ule upande wa pili ulio wazi kama puto then nylonon za Marlboro na na nyuzi ngumu nyeusi zilizofumuliwa toka kwenye tyre zinafuata
chai ya kakaoSikukosea kukuita mlugaluga
Bwashee tumepitia mengi kwenye haya maisha.Chai bwashee
Vipi tena!!?πππππ ila Maka, mmmmh
Mie nilipata majerahabya kidole kuteuka, ndio ukaja kuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikiguswa kidogo tayari..Ule mpira ni mtamu bhana! Wengi waliashatoa kucha zao kisa chandimu.
Kama huamini basi mkuu, ila ukweli ndio huoUnatufunga mota mkali.
Oya na hiyo ni INTRO tu nikianza kukumbuka matukio mengine, mtabiombea ban JFBadala ya Minyama yani tupaki umepakua jiko kabisa.
SawaUongoooo
Mi nilitegua kidole gumba zaidi ya mara tatu kisa chandimu.Mi
Mie nilipata majerahabya kidole kuteuka, ndio ukaja kuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikiguswa kidogo tayari..
Nilipiga chenga, karibia watu wa4 ama wa5 hivi sasa wakati napoga shuti kumbe pale kuna mzizi wa muarobaini, aloo weeeh!! Nikapiga mpira na kuchimbua ule mzizi..
Balaa niliporudi home, bimkubwa alikuwa jasiri kinyaaama, anakukanda na maji ya moto anatia na chumvi, fimbo pembeni, ole wako upige ukunga sasa, ni mikwaju tu ππ€£

Maka sio kwa minyama hii..!!Nilikuwa zidane wa kitaa bila ya mimi watu hawachezi.. nishakula sana mikwaju kisa chandimu.
Kuna moja hiyo, watu wamekuja kunitorosha madrassa, chama liko robo fainali, zawadi mchele na kuku chama lishakufa goli 2, watu mbona walikuja madrassa wakasingizia wameagizwa toka home, nahitajika mara 1, aisee natoka wana wananiambia breki uwanjani, chama lishaloa chuma 2..
Nafika navua kanzu, nabaki na bukta tunachomoa chuma 2, kisha ya 3 napachika mwenyewe...
Sasa mimba haina siri.. tunarudi mtaani shangwe nyingi, full kuimba nini, kunitania, siri ikavuja mie ndio shujaa wa leo, na wale makomqndo vipensi, wazee wa CIA waliokuja kunichomoa pale, wakamwaga siri walivyonipata, alooh, taarifa zikafikq home, usiku ule nikachezea sana mikwaju, kesho yake napo madrassa taarifa zimemfikia ostadhi nako nikala mikwaju.. ππ€£
Hatari sanaMi nilitegua kidole gumba zaidi ya mara tatu kisa chandimu.
Sana aisee.Hatari sana
Hahahaha kupiga mizizi au kupiga jiwe wakati wa kucheza mpira ilikuwa kitu cha kawaida sana.Mi
Mie nilipata majerahabya kidole kuteuka, ndio ukaja kuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikiguswa kidogo tayari..
Nilipiga chenga, karibia watu wa4 ama wa5 hivi sasa wakati napoga shuti kumbe pale kuna mzizi wa muarobaini, aloo weeeh!! Nikapiga mpira na kuchimbua ule mzizi..
Balaa niliporudi home, bimkubwa alikuwa jasiri kinyaaama, anakukanda na maji ya moto anatia na chumvi, fimbo pembeni, ole wako upige ukunga sasa, ni mikwaju tu ππ€£
Mi sikucheza sana, mishe zangu zilikua kuwinda ndege, kombolela, movie, misele na kwenda kuchezea maji mtoni.Sana aisee.