makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
ππ€£Maka sio kwa minyama hii..!!
Yani wewe umezidi umebeba sufuria lote ukajitwika kichwani alooo!! πΉπΉπΉ
Ukijichanganya tu, umepiga jiwe dochi ππ€£Hahahaha kupiga mizizi au kupiga jiwe wakati wa kucheza mpira ilikuwa kitu cha kawaida sana.
Watoto wangu wananicheka kwa jinsi madole yangu ya miguu yalivyoharibika na kupinda tokana na chandimu.
Yaani ni vitu vya kawaida sana kwenye boli..Mi nilitegua kidole gumba zaidi ya mara tatu kisa chandimu.
Basi ulikosea uhondo mkuu. Chandimu kwa miaka ile ndo mchezo mtamu.Mi sikucheza sana, mishe zangu zilikua kuwinda ndege, kombolela, movie, misele na kwenda kuchezea maji mtoni.
Kama unajua kupiga dochi, we ni either mtu wa Moro au Dar na pia ulicheza sodo. Hayo ndio yalikuwa maneno yetu. ππUkijichanganya tu, umepiga jiwe dochi ππ€£
Nimecheka sana, πππππVipi tena!!?
ππ€£π
ππππππMi
Mie nilipata majerahabya kidole kuteuka, ndio ukaja kuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikiguswa kidogo tayari..
Nilipiga chenga, karibia watu wa4 ama wa5 hivi sasa wakati napoga shuti kumbe pale kuna mzizi wa muarobaini, aloo weeeh!! Nikapiga mpira na kuchimbua ule mzizi..
Balaa niliporudi home, bimkubwa alikuwa jasiri kinyaaama, anakukanda na maji ya moto anatia na chumvi, fimbo pembeni, ole wako upige ukunga sasa, ni mikwaju tu ππ€£
Ila skull boli nimelibonda sana, Hata pale uboyzn Ligi ya mabweni nilikua Diara Mtupu mwaka wetu Gwanta walibebagaπ€£Basi ulikosea uhondo mkuu. Chandimu kwa miaka ile ndo mchezo mtamu.
Oya mkuu kumbe ulisoma pale Lyaboiz πππ. Mi nilikuwa Shaaban Robert na nilikuwa faya sana.Ila skull boli nimelibonda sana, Hata pale uboyzn Ligi ya mabweni nilikua Diara Mtupu mwaka wetu Gwanta walibebagaπ€£
Nlianzia kwingine nikamalizia pale.Oya mkuu kumbe ulisoma pale Lyaboiz πππ. Mi nilikuwa Shaaban Robert na nilikuwa faya sana.
Shahidi Monetary doctor
Na sio kutolewa tu, nilitolewa kimafia...Nimecheka sana, πππππ
Ukatolewa chuo, ili ukaivushe team, woiiiih
Utoto wangu woote nimeumalizia dar, KURASINI, shimo la udongo, maji machafu.. mivinjeni, kota za bandari kule, shule ya msingi yenyewe ya kurasini kisha nikaja nikaenda morogoro sehemu moja panaitwa MANG'ULA huko nikakichafua sana, ndio nikamaliza utoto wangu hapo, narudi dar, nimeshauanza ujana.Kama unajua kupiga dochi, we ni either mtu wa Moro au Dar na pia ulicheza sodo. Hayo ndio yalikuwa maneno yetu. ππ
We jau.ππππππ
Hv umelala Shaban Robert? Me nikuwa Shaban Robert room 13 mwaka 2000 nikiwa kidato Cha tanoOya mkuu kumbe ulisoma pale Lyaboiz πππ. Mi nilikuwa Shaaban Robert na nilikuwa faya sana.
Shahidi Monetary doctor
Usinikumbushe zile parachichi mkuu.Nlianzia kwingine nikamalizia pale.
Nakumbuka nilikuwa nalala pale Shaaban room namba 11, mwaka 1997 nikiwa form six.Hv umelala Shaban Robert? Me nikuwa Shaban Robert room 13 mwaka 2000 nikiwa kidato Cha tano