Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Spurs kwa msimu huu sitegemei kufanya vizuri sana kama watu wengine wanavyodhani.

Wana UEFA CHAMPIONS LEAGUE ambayo inahitaji concentration kubwa na upana wa kikosi kuweza kurotate watu sahihi. Kwa Spurs watalazimika kucheza na regular starters wao hivyo itawapunguzia makali kwenye ligi kwa sababu ya uchovu.

Tofauti na timu za Arsenal na Man Utd watakaocheza Europa, wao wataweza kurotate vikosi na wakapata matokeo kiurahisi tu bila kuathiri performance ya kwenye ligi. Hapo sijamaanisha Europa ni nyepesi!
 
Hakuna cha urahisi wala ugumu kina Juve wakitolewa UCL makundi wanakuja Europa Tabu inakua palepale....Lakini Spurs na Arsenal wamesajili kwa mbwembwe sana ngoja tuone itavyokua
 
Man U tutaendelea kutoa dose mpaka May mwakani, utabiri na uganga wa kienyeji hautuhusu
 
Boraaa umuambieee huyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…