Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Kwa wachaga wote naomba kujua jani la sale lina maana gani naona kama lina heshimiwa sana.
 
Mi nawapa changamoto wana moshi wenzangu tuamuke after lol mi ni half mother mchaga baba mhaya mchanganyiko wa makabila maarufu bongo mother wa kibosho karibu na seminali kuu
Sawa Mkuu Wangu Nimekusoma Chotara La Kihaya Na Kichaga. Una IQ Kubwa Ya Biashara Na Elimu Ya Darasani. Ushindwe Wewe Kuwa Kwenye List Ya Escrow.
 
Inaitwaje asee maana mi sshv nataka nipige vyombo mbali na town
Unapopita kibosho rd kuelekea kibosho upande wa kushoto ukishaachana na hicho kituo cha hiace za kibosho kama mita 200 mbele utaona makuti. Ndo tunamalizia malizia hapa maandalizi
 
Sawa Mkuu Wangu Nimekusoma Chotara La Kihaya Na Kichaga. Una IQ Kubwa Ya Biashara Na Elimu Ya Darasani. Ushindwe Wewe Kuwa Kwenye List Ya Escrow.
Mchanganyiko huu umenipa mafanikio makubwa bk na moshi kwetu petu na senene nakula
 
Mchanganyiko huu umenipa mafanikio makubwa bk na moshi kwetu petu na senene nakula
Hongera Mkuu Kwa Kutumia Fursa. Leo Nimepata Siri Ya Kwanini Wachaga Na Wahaya Wana Akili Nyingi Za Darasani Na Kimaisha. Ni Tunda La Ndizi Na Parachichi.
 
Lembeni ndiyo wapi hebu tupe dira vizuri nampango wa kuja huko 28 usiku kwa usiku
 
Nikutumie ile kibosho galoni moja??!!maana huwa tam kama imetiwa sukari vile afu unaikuta ya baridiii
Mwezi uliopita nilikuwa huko, niliifaidi vibaya mno...nitumie mkuu
 
Unapopita kibosho rd kuelekea kibosho upande wa kushoto ukishaachana na hicho kituo cha hiace za kibosho kama mita 200 mbele utaona makuti. Ndo tunamalizia malizia hapa maandalizi
Nitapasoma ijumaa
 
kilema kisangiro hapa...full ubaridi nafikiria hapo januari nije kuibeba milango na madirisha yangu hapo stop-over ila huyu jamaa Mungu anamuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…