Nitakuja kukuona namjua KiwaleMawela ntakuja trh 27 mkuu... Maza ang katokea hapo kwa akina Kiwale asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuja kukuona namjua KiwaleMawela ntakuja trh 27 mkuu... Maza ang katokea hapo kwa akina Kiwale asee
Nitakutembeleasokoni mkuu
Tarakea ipo ndani ya Wilaya ya Rombo, kwa mantiki hiyo hujaeleweka hata kidogo mkuu!Hapo tarakea mlima ulipopigiwa picha!katikati ya tarakea na rombo.
Sawa Mkuu Wangu Nimekusoma Chotara La Kihaya Na Kichaga. Una IQ Kubwa Ya Biashara Na Elimu Ya Darasani. Ushindwe Wewe Kuwa Kwenye List Ya Escrow.Mi nawapa changamoto wana moshi wenzangu tuamuke after lol mi ni half mother mchaga baba mhaya mchanganyiko wa makabila maarufu bongo mother wa kibosho karibu na seminali kuu
Karibu bossNitakuja kukuona namjua Kiwale
Unapopita kibosho rd kuelekea kibosho upande wa kushoto ukishaachana na hicho kituo cha hiace za kibosho kama mita 200 mbele utaona makuti. Ndo tunamalizia malizia hapa maandaliziInaitwaje asee maana mi sshv nataka nipige vyombo mbali na town
Mchanganyiko huu umenipa mafanikio makubwa bk na moshi kwetu petu na senene nakulaSawa Mkuu Wangu Nimekusoma Chotara La Kihaya Na Kichaga. Una IQ Kubwa Ya Biashara Na Elimu Ya Darasani. Ushindwe Wewe Kuwa Kwenye List Ya Escrow.
Fuji au Suji acha kudanganya watu.Natokea Fuji
Hongera Mkuu Kwa Kutumia Fursa. Leo Nimepata Siri Ya Kwanini Wachaga Na Wahaya Wana Akili Nyingi Za Darasani Na Kimaisha. Ni Tunda La Ndizi Na Parachichi.Mchanganyiko huu umenipa mafanikio makubwa bk na moshi kwetu petu na senene nakula
Lembeni ndiyo wapi hebu tupe dira vizuri nampango wa kuja huko 28 usiku kwa usikuShalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda.
Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye mawe ili ubane upande wa mawe usiweze kukwepa.
Jana tumekutana nayo wamepanga km manne, hivyo hatukuwa na option nyingine tukayaingia nikapasua tairi ya mbele hapo hapo Mungu amesaidia haikupinduka.
Tukaanza kutafuta pa kusimama ili tuweze kubadili ghafla tukaona Bodaboda inaanza kutufuata spidi ikabidi tuondoke hivyo hivyo, walivyoona tunaondoka wakazima taa wakaingia msituni, tukaendelea kwa muda Bahati tukaingia mji unaofuata.
Tukakuta watu pale wakatuambia mna Bahati sana maana haipiti siku mbili wanatega mawe na kuiba hata juzi wameiba hivyo hivyo na wanawapiga mapanga.
Cha kushangaza eneo hilohilo tumeambiwa polisi walikuwepo muda si mrefu. Ila tumekuja kuwakuta huku mbele wakatuambia ngoja waende huko
Nashauri unaposafiri hakikisha unamuomba Mungu awalinde dhidi ya wasio haki kwani sisi tulikuwa na Zaburi ya 17.
Shetani anatumia watu wasio haki kama hawa. Pia mfahamu kuna watu shetani amewabadili kuwa wauaji, wezi na waharibifu ila ukiwa na Roho wa Mungu utakuwa salama tu.
Ni hayo niliyokutana hivyo muwe makini na haya, mchana tochi, usiku mawe!!!! Sasa hiyo ni bufee chagua mwenyewe.
Mosha
Mwezi uliopita nilikuwa huko, niliifaidi vibaya mno...nitumie mkuuNikutumie ile kibosho galoni moja??!!maana huwa tam kama imetiwa sukari vile afu unaikuta ya baridiii
Nitapasoma ijumaaUnapopita kibosho rd kuelekea kibosho upande wa kushoto ukishaachana na hicho kituo cha hiace za kibosho kama mita 200 mbele utaona makuti. Ndo tunamalizia malizia hapa maandalizi
Hapo bablony ni karibu na marangu mtoni siyo kama inaelekea mamba siyo?Karibuni Marangu Karibu Na Babylon Lodge Tujipongeze
Na kahawa zile punje sijui zina utamu gani?mi nazani zinaongeza akiliHongera Mkuu Kwa Kutumia Fursa. Leo Nimepata Siri Ya Kwanini Wachaga Na Wahaya Wana Akili Nyingi Za Darasani Na Kimaisha. Ni Tunda La Ndizi Na Parachichi.