Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Shida serikali yetu haijui kusimamia vitu vyake ukichunguza utakuta shule za gvt zinaongoza kufelisha hata hospitali zao zina upungufu wa dawa na service mbovu
Kwa kiasi fulani uko sahihi lakini bado haujagusa ule mzizi wa hiyo kasoro kwenye shule za govt. Hivi kweli ingelikuwa ni ww ndo Serikali ungefanyaje ilhali darasa moja (standard) linatakiwa liwe na wanafunzi 45 (Sec. Schools) lakini siasa imeingia hapo na imepelekea kwa sasa mkondo mmoja (stream au chumba kimoja) kwa uchache sana lina wanafunzi 70-80. Hebu ulione hilo na ufanye hesabu kwamba hilo darasa e.g.Form One lina mikondo (streams A,B,C,na D) nne(4) i.e. 4x 80 = wanafunzi 320. Kwa hiyo, Shule nzima F1 - F4 ndo kusema ina wanafunzi 320 x 4 = wanafunzi 1,280 badala ya wanafunzi 720. Kitaalam mwalimu mmoja hapo anazidiwa mno na mzigo. Mkuu wa Shule ndo usiseme; yan anakaribia kuzimia kama sio yuko hoi. Mzigo wake ni Waalimu, wanafunzi na Mazingira ya shule. Shule za Private wanajitahidi sana kumaintain hiyo standard. Waalimu wa shule hizo za private ni wale wale wanaofundisha huko govt. na pengine wako inferior zaidi ila mzigo wao ni mwepesi na hivyo wanazama ndani zaidi ktk. Ufundishaji wao.
Kwa mantiki hiyo kutafuta ni kwa nini govt inaperform vibaya ni rahisi kuona kwamba govt inafelisha kana kwamba ni makusudi - hapana. Mazingira ya kazi (working conditions) kwa private ni bora kuliko kwa govt. na hiyo ndo inayo changia kwa kiasi kikubwa (determine) perfomance itakuwaje.
 
Kwani gvt haiwezi kufanya mazingira ya shule zao kuwa bora .kama JPM aliweza kuanzisha mfumo wa elimu bure natumaini hata hili linawezekana
 
Back
Top Bottom