Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Natumikia nchi yangu tena ni mzalendo kweli kweliKwenye profile pic naona unatumikia nchi yako kwa kusukuma mkokoteni
Ushauri wenye kujenga vijana wasome kozi za sayansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumikia nchi yangu tena ni mzalendo kweli kweliKwenye profile pic naona unatumikia nchi yako kwa kusukuma mkokoteni
Kumbe watanzania mlishiriki katika kuziunga!mbona sasa kwenye tv nilikuwa naona wazungu tuLabda elimu yako wewe mkuu lakini mimi elimu yangu ina maana sana juzi kati mlikata fiber za baharini tukaunga
Ndio tulishiriki tena kama mimi ni kwa asilimia 100% unadhani hao wazungu uliowaona kwenye TV wanajua architecture ya network yetu kuliko sisi wenyewe tunayoimaintain kila siku?Kumbe watanzania mlishiriki katika kuziunga!mbona sasa kwenye tv nilikuwa naona wazungu tu
Ahaaa haaa, wasiweze kuziweka ndio waweze kuziunga, ndoto za alinacha hizo.Kumbe watanzania mlishiriki katika kuziunga!mbona sasa kwenye tv nilikuwa naona wazungu tu
Bro tuendelee kupambana TZ bado tuna safari ndefu sanaAhaaa haaa, wasiweze kuziweka ndio waweze kuziunga, ndoto za alinacha hizo.
Kwa kiasi fulani uko sahihi lakini bado haujagusa ule mzizi wa hiyo kasoro kwenye shule za govt. Hivi kweli ingelikuwa ni ww ndo Serikali ungefanyaje ilhali darasa moja (standard) linatakiwa liwe na wanafunzi 45 (Sec. Schools) lakini siasa imeingia hapo na imepelekea kwa sasa mkondo mmoja (stream au chumba kimoja) kwa uchache sana lina wanafunzi 70-80. Hebu ulione hilo na ufanye hesabu kwamba hilo darasa e.g.Form One lina mikondo (streams A,B,C,na D) nne(4) i.e. 4x 80 = wanafunzi 320. Kwa hiyo, Shule nzima F1 - F4 ndo kusema ina wanafunzi 320 x 4 = wanafunzi 1,280 badala ya wanafunzi 720. Kitaalam mwalimu mmoja hapo anazidiwa mno na mzigo. Mkuu wa Shule ndo usiseme; yan anakaribia kuzimia kama sio yuko hoi. Mzigo wake ni Waalimu, wanafunzi na Mazingira ya shule. Shule za Private wanajitahidi sana kumaintain hiyo standard. Waalimu wa shule hizo za private ni wale wale wanaofundisha huko govt. na pengine wako inferior zaidi ila mzigo wao ni mwepesi na hivyo wanazama ndani zaidi ktk. Ufundishaji wao.Shida serikali yetu haijui kusimamia vitu vyake ukichunguza utakuta shule za gvt zinaongoza kufelisha hata hospitali zao zina upungufu wa dawa na service mbovu
Kwani gvt haiwezi kufanya mazingira ya shule zao kuwa bora .kama JPM aliweza kuanzisha mfumo wa elimu bure natumaini hata hili linawezekanaKwa kiasi fulani uko sahihi lakini bado haujagusa ule mzizi wa hiyo kasoro kwenye shule za govt. Hivi kweli ingelikuwa ni ww ndo Serikali ungefanyaje ilhali darasa moja (standard) linatakiwa liwe na wanafunzi 45 (Sec. Schools) lakini siasa imeingia hapo na imepelekea kwa sasa mkondo mmoja (stream au chumba kimoja) kwa uchache sana lina wanafunzi 70-80. Hebu ulione hilo na ufanye hesabu kwamba hilo darasa e.g.Form One lina mikondo (streams A,B,C,na D) nne(4) i.e. 4x 80 = wanafunzi 320. Kwa hiyo, Shule nzima F1 - F4 ndo kusema ina wanafunzi 320 x 4 = wanafunzi 1,280 badala ya wanafunzi 720. Kitaalam mwalimu mmoja hapo anazidiwa mno na mzigo. Mkuu wa Shule ndo usiseme; yan anakaribia kuzimia kama sio yuko hoi. Mzigo wake ni Waalimu, wanafunzi na Mazingira ya shule. Shule za Private wanajitahidi sana kumaintain hiyo standard. Waalimu wa shule hizo za private ni wale wale wanaofundisha huko govt. na pengine wako inferior zaidi ila mzigo wao ni mwepesi na hivyo wanazama ndani zaidi ktk. Ufundishaji wao.
Kwa mantiki hiyo kutafuta ni kwa nini govt inaperform vibaya ni rahisi kuona kwamba govt inafelisha kana kwamba ni makusudi - hapana. Mazingira ya kazi (working conditions) kwa private ni bora kuliko kwa govt. na hiyo ndo inayo changia kwa kiasi kikubwa (determine) perfomance itakuwaje.
Ni kweli bro nchi yetu hii ubabaishaji mwingi sana.Bro tuendelee kupambana TZ bado tuna safari ndefu sana
TunaKumbe hadi wenye MA na MSc stress nazo zina waandama. Hii ni hatari.
Digital content broardcastingDCBE kirefu chake?
Mkuu kuwa serious sasa...Maliza chuo kwanza ajira zipo nyingi sana
😂😂😂😂😂 Afu weww nina habari zako...Thubutuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hali sio mchezo mkuu, mwambie asizidishe tungi lakini.Kuna jamaa ana MA tunachapa nae tungi tu mtaani
Tuna
Safi sana broadcaster.Digital content broardcasting
Hamna kitu hapa mkuuSafi sana broadcaster.
Shida vijana mnapenda sana kuajiriwa badala ya kufanya kazi kumbuka ya kuwa ajira zipo chache ila kazi zipo nyingiKuna jamaa ana MA tunachapa nae tungi tu mtaani
Tuna
Kwa nini mkuu?Hamna kitu hapa mkuu
Hamna kitu unaona nipo nipo tuuKwa nini mkuu?