Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa


Mkuu si uache uongo? Au chuo chenu saut huwa baada ya supp grades zinaongezeka…Kwa wa sisi MIT ukiwa ns supp hata kama utapata 85 wewe grade ni C tu…Sasa kama alikuwa anapata supp kila semister means hawez pata gpa hiyo ya 4.2
 
Kudharau gpa za vyuo vya wengine na wenyewe ni upumbavu tu
 
Kazini wale wenye GPA kubwa ndyo wanaishia kuwa na msongo WA mawazo maana wanakuwa na mategemeo makubwa Ila mwishowe hawachukuliwi kiumuimu sana sikuizi uwezo wako katika kutimiza majukumu yako ndyo unakubeba snaa pale unapopata kazi na connection Aya ya ufaulu baada ya kupata kazi vinawekwa pembeni majukumu utakayopewa ndyo yataamua vipi utaenda mbele au nyuma kwenye promotion
 
Mimi nimesoma IT nina GPA ya 2.6 huwa najuta sana kusomea hiyo kozi
Na ubaya WA kozi yako GPA inaangaliwa snaa kuna kazi ili upate lazima GPA iangaliwe sababu zinashirikisha ubongo Kwa asilimia 90 labda kama unautundu binafsi kwenye iyoo kozi yako inaonekana uliisomea Kwa mkumbo manaa najua wengi waliosomea iyoo kozi wako vizuri ikichwani
 
Ufanisi wa Mtu kamwe hautafsiriwi na GPA yake bali ni 'Application' ya Kile alichokisoma Kitaaluma na 'Competence' yake.
 
Wenye GPA ndogo wazuri tu kufanya kazi routine yaani kutwa kazi ni hiyo hiyo ndio.maana wamejazana kwenye mabenki wakifanya kazi za kupokea hela na kulipa hela

Ukienda kwenye maeneo ya ngazi za maamuzi na kuumiza kichwa GPA ndogo hahitaji.GPA ndogo ni mtu tu wa kuambiwa fanya hiki

Makampuni makubwa ya wawekezaji wa kimataifa ndiko kumejaa wenye GPA kubwa wanajua umuhimu wao na huwaandaa kuwa viongozi kwenye matawi yao ysliyoko sehemu mbalimbali duniani

Kama unataka kuwa local pata digrii yenye GPA ndogo huuziki kimataifa hata masters tu huendi

Serikalini na taasisi zake kwenye management sasa hivi wanataka mtu mwenye masters sasa na ki GPA chako kidogo masters utaisikia kwenye radio
 
Mnahangaika na gpa ilihali mtaani panahitajika vonnection..chukua gamba lako na 4.4 sijui alafu huna cinnection mtaani.. ndio utajua iti dazinti mata... pata gamba kua creative kujichomoa kitaa..vha muhimu gamba tuu ila 2.1 we umezidi sana kah
 
Sawa ila jua connection matters
 
Exactly...yani uwe na connection alafu ufanye ile kazi kwa juhudi...mbona izo promotion zitakua zakuzid
 
Ila mwisho wa siku wazee wenye GPA ya 3.5 na kuendelea hongera sana maaana iwe halali au ya michongo bado mlizipambania....huku mtaani ni another case...iwe kwa mwenye GPA kubwa Au mdogo........
 
Wakati wenzenu wanaenda library nyie mko club mnakula ujana.
 
sure usisahau na ile ya kufanyiwa assignments
Chuo kama
i) haugelezei wenzio kwenye pepa

ii) haufanyiwi assignment

iii) hauna mazoea na Leactures

iv) Huna wowowo/mzuri au hushawishi anybody 😸😸😸😸

tegemea kupata Lower second n pass otherwise inahitaj juhudi na msuli mkubwa sana kutoboa
 
unashangaa mtu wa kawaida tu misele miingi sometimes mahudhurio hammna ila anakupigia 4.3
 
Ungetaja na kozi. Uzito wa GPA unaenda sambamba na kozi. Huwezi linganisha 3.5 ya HR na 3.0 ya engineering. Tuelewane hapo!
Hakuna aliyemlazimisha mtu kuchukua engineering au pharmacy, kila mtu alichukua somo aliloona analimudu kwa hiyo GPA haitobadilika.. Matter of fact sio kwamba engineering ulipata 3.0 ukadhani ungesoma HR ungepata 4.5

Hilo halipo..
 
Umeongea ukweli fulani hivi mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…