Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Ukishajua unafukuza tu atajua mwenyewe na aliyempa mimba , wewe unaendelea na maisha yako . Maisha mafupi Sana usijipe stress.
 
Reactions: BAK
Sisi ndo wababa wa ulipo tupo Kama hatupo basi twaja..🤣🤣
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
 
Swala la hg sitaki hata kulisikia lilishanitokea sitaki kurudia kosa kabisa
Kuna faida ya kutokuwa na Housegirl, hasa jikoni unaweza kumnunulia mkeo vifaa vya kisasa kama electrical pressure cooker akaitunza na kuithamini ikadumu. Mara nyingi nyumba ambazo HG ndiye dereva wa household, vifaa vya ndani hata vitu kama vijiko au glass ni majanga. Unaweza kuta haina hata glass moja ya kunywea maji, zote zimevunjika na hasemi
 
Shukuru kwakuwa amekubali kubeba jukumu, watoto ni baraka, watunze hao watoto bila kinyongo utabarikiwa.
 
Mtu ufanye ujinga wote, lakini kumlala binti wa kazi, hapana aisee. Anakusaidia kulea watoto, anakuangalizia nyumba mkiwa hampo, anapika, anafua na jinsi tunavyoishi nao ni kama watoto/wadogo zetu. Binafsi nipo against na hii kitu, tafuta mwanamke mwingine huko sio ndani ya nyumba.
 
Kweli kabsaa. Upo vizuri boss
 
Sisi ndo wababa wa ulipo tupo Kama hatupo basi twaja..[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa shunie amesema hataki tena kusikia binti wa kazi mana wababa wenyewe ndio hawa wanataka kula tuswala tunaowasaidia kazi kina shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa mwanaume raha sana
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Sasa nao si watoto wako yan wa mke mwenzio itabidi uwafatilie mana ukoo wa mzee unapotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…