snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
ππππππNaomba nikuulize swali kama hutojali!
Upo katika ndoa?
Marital status yangu haibadilishi fikra zangu buddha!!
Wala haibadilishi uhalisia wa hiki kinachoandikwa hapa na huyu.
So nipo au sipo kwenye ndoa sio swali.
Ndoa zetu hazipaswi kuwa mwamvuli au kinga ya utambuzi.