Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.
Anaeza kua hachepuki na house girl lkn anachepuka na wafanyakazi wenzie / wafanyabiashara wenzie, 90% ya wanaume walio kwenye mahusiano ya namna yoyote ile wanachepuka.
 
Mkuu umefanya "Critical analysis" safi kabisa. Feminists ni sumu kwa ndoa za wenzao.
Aseeeh.
Wanaume bana, mtu akiandika msichopenda ni feminist.
Well, kama tafsiri yenu ya kuwa tu na akili tofauti na wigo mnataka wanawake waishie kufikiri ni kuwa feminist then I am feminist.

Jambo la kushangaza sana.
Mna watoto wa kike
Mna madada
Mna binamu wa kike
Ondoa nafasi ya kuwa mume katika uzi huu
Baki ukiwa baba, kaka, binamu wa kiume, rafiki to a dear friend.

Hii ungependa iwe hadithi ya maisha yake ya ndoa?
Wud you be still praise that comment kuwa ni "critical analysis"?
Maisha hayaishii kwenye maisha yetu.
Tusiwe wabinafsi.
 
Mtu ufanye ujinga wote, lakini kumlala binti wa kazi, hapana aisee. Anakusaidia kulea watoto, anakuangalizia nyumba mkiwa hampo, anapika, anafua na jinsi tunavyoishi nao ni kama watoto/wadogo zetu. Binafsi nipo against na hii kitu, tafuta mwanamke mwingine huko sio ndani ya nyumba.
Si unamsaidia na haja ya mahitajia yake ya kimwili ambayo yangemfanya wakati mwingine aache majukumu ya kazi akayapate.!!
 
Aseeeh.
Wanaume bana, mtu akiandika msichopenda ni feminist.
Well, kama tafsiri yenu ya kuwa tu na akili tofauti na wigo mnataka wanawake waishie kufikiri ni kuwa feminist then I am feminist.

Jambo la kushangaza sana.
Mna watoto wa kike
Mna madada
Mna binamu wa kike
Ondoa nafasi ya kuwa mume katika uzi huu
Baki ukiwa baba, kaka, binamu wa kiume, rafiki to a dear friend.

Hii ungependa iwe hadithi ya maisha yake ya ndoa?
Wud you be still praise that comment kuwa ni "critical analysis"?
Maisha hayaishii kwenye maisha yetu.
Tusiwe wabinafsi.
Wewe hujawahi kuwa positive hata siku moja when it comes to marriage issues.

Mie hayo mambo yamtokee dada, mtoto or whoever the choice inabaki kwa mwenyewe. Unless iwe ni physical violence naweza kuingilia na lazma chanzo nikielewe isije ikawa umalaya wake mtu halafu ajilize akidundwa au ujeuri wake.

Otherwise, siwezi nikaanza kum judge mtu for the choice she makes. Ili kuepuka kuonekana mchawi its very nice kukaa kimya.
 
Hakuna jambo la kushauriana,tunzeni watoto tu.
 
Watieni na mimba Kama mnaweza,mme wangu alimtia mimba binti,nikajua sikumuuliza,nikatimua binti kimyakimya,nikahama nyumba,siku kaletwa na wazazi wake nyumba tulohama anaulizwa mwanaume anafanyia wap hata hajui,anaitw Nani hajui,jiran angu akawafata akawaambia huyu mtu alihama kikazi kahamoa mkoa fulan wakaondoka kimyakimya na kijukuu chao,mpk leo mme hajui km walimletea mtt na mawasiliano hawana.....yaan shida tuuuupu!!! Nisivopenda kuingilia mambo ya watu nimejikausha Kama sijui kinachoendelea najilelea wanangu Mimi!!! Shahawa zake zinatangatanga hukooooo
Wewew mwanamke gaidi sana, ila nimecheka sana.
 
Ninkw
Kutembea na hg ni ushetani kama ulivyo ushetani mwingine,once you get started you can't seat down,kwahiyo jitahidi kadri mwanaume mwenzangu kujizuia,aina hii ya mahusiano mwishoni itaishia kuharibu tu nyumba yako na kudhalilika kwa jamii yote inayokuzunguka including watoto wako....
Ni kweli kabisa, mwanaume kama huyu hachelewi kutembea na watoto wake wa kumzaa. Kuna kisa kimoja mwanaume alikuwa na tabia ya kutembea na kila house girl anayeletwa, yule mama kugundua tabia ya mumewe ikabidi aaache kazi ili afanye kazi zake mwenyewe bila house girl. Kilichotokea mume wake akawa anatembea na mtoto wake wa kumzaa ambaye ana miaka 13, mbaya zaidi alikuwa anamuingilia kinyume na maumbile. Alimuharibu yule binti sana. Nadhani mpaka sasa hivi ndoa haipo na imekua ni kosa la jinai.
Yani yupo kama zombie.
Uzi umejua kuniharibia mood
 
Aisee very sad indeed
 
Tunachoooka jmn,mme anatembeza mboo km umeme wa rea vjijin,
Kusema kweli huyo jamaa hafai anaendeshwa na matamanio zaidi kuliko fikira

Pia anashindwa kuitambua thamani ya mkewe na kumpatia heshima anayo stahiki ..sio Jambo jema kabisa sio uungwana na Ni dalili za kukosa utu ..ukimpendq mtu lazima utamuheshimu lazima utapambana kwaajili yake na kuhakikisha ana kuwa na furaha wakati wote hauwezi kuwa wewe ndiye sababu ya kumfanya aumie

Pole Sana mrembo Vinyovyaruge
 
Siyo wanaume wote.
Ukimchukulia house girl kama mwanao (kwani wengi ni wadogo), huwezi waza kumfanyia upuuzi kama huo.
Watu wanaoamini mahubiri ya nabii Titto ya kutafuna housegirl nawaona kama ni wanaume wakatili.
KICHWA KIDOGO HUWA KIKIKAMATA NETWORK KICHWA KIKUBWA KINAKUWA DORMANT
 
Naam ni
Mwanaume wa hivi sio wa kumchekea. Na hii tabia ni kama ngozi mwanaume akiianza hawezi kuacha. Akikosa msichana wa kazi anageukia ndugu au watoto wake.
Sahihi desturi ya umalaya Ni kukosa haya .. ukishakuwa Malaya Sana haya inakutoweka na kila mtu ataye katiza mbele yako unaona nihalali tu kwako unakuwa unafuata kile Ambacho matamanio yako yanasema hii Ni mbaya Sana na Ni dalili za kukosa utashi wa kufikiri
 
Wewe hujawahi kuwa positive hata siku moja when it comes to marriage issues.

Mie hayo mambo yamtokee dada, mtoto or whoever the choice inabaki kwa mwenyewe. Unless iwe ni physical violence naweza kuingilia na lazma chanzo nikielewe isije ikawa umalaya wake mtu halafu ajilize akidundwa au ujeuri wake.

Otherwise, siwezi nikaanza kum judge mtu for the choice she makes. Ili kuepuka kuonekana mchawi its very nice kukaa kimya.
Kuwa positive ni kusema sawa housegirl atumike kingono, apewe ujauzito, aondolewe.
Aletwe mwingine, afanyiwe the same aondolewe.
Aje na mwingine and the chain iendelee.
Huko ndo kuwa positive?
Kuwa positive ni kushabikia kuwa ni sawa asipokuwa sawa na mke ,muathirika ni binti mnayechukua kwa Wazazi wake kwa ahadi za kuishi nae kama Wazazi na kumfanya kipozeo?
Huku ndiko kuwa positive?

Then ni sawa kuniona negative.
Tunasimama pande mbili tofauti za mto bro.
Huwezi kuona niko positive
 
Ninkw

Ni kweli kabisa, mwanaume kama huyu hachelewi kutembea na watoto wake wa kumzaa. Kuna kisa kimoja mwanaume alikuwa na tabia ya kutembea na kila house girl anayeletwa, yule mama kugundua tabia ya mumewe ikabidi aaache kazi ili afanye kazi zake mwenyewe bila house girl. Kilichotokea mume wake akawa anatembea na mtoto wake wa kumzaa ambaye ana miaka 13, mbaya zaidi alikuwa anamuingilia kinyume na maumbile. Alimuharibu yule binti sana. Nadhani mpaka sasa hivi ndoa haipo na imekua ni kosa la jinai.
Na kuna watu hapa wanachekelea na kuona hiki kitu ni sawa.
Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom