Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahaha tunachangamsha jamvi kidogo mzee mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee acha mambo yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha tunachangamsha jamvi kidogo mzee mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee acha mambo yako!
Sasa kuzaa na housegirl imekuwa nongwa? Wengine wanazaa na mama mkwe na maisha yanasonga kamakawai
Tayari tushaandika wosia. Ila pia sikatai kuwasaidia maana ni ndugu wa wanangu. Mali na takataka zote tulizo nazo tutaziachaPamoja na hayo, Sheria inasema Wanastahili Urithi. Hakuna mwanaharamu mbele ya Sheria bali wazaziharam
We jidanganye na jipe moyo tu. Hakuna mtoto haramu karne hii. .. shauri zakoTayari tushaandika wosia. Ila pia sikatai kuwasaidia maana ni ndugu wa wanangu. Mali na takataka zote tulizo nazo tutaziacha
Wanakuwa waoga mwanzoni badae wazoefu na dharau juuHata mimi naona kama ni unyanyasaji , maana unaweza kuta wanakataa, ila wanakuwa waoga
Kama kuna kitu huwa hakinipi shida ni mali tulizonazo. Mungu analijua hili na ndo maana kanibariki kwa hilo. Pia kati yetu yoyote anaweza tangulia mbele za haki.We jidanganye na jipe moyo tu. Hakuna mtoto haramu karne hii. .. shauri zako
Kama mali ipo ya kutosha mwachie hubby aijaze dunia wakati wewe ukiwa bize na safari zako...Kama kuna kitu huwa hakinipi shida ni mali tulizonazo. Mungu analijua hili na ndo maana kanibariki kwa hilo. Pia kati yetu yoyote anaweza tangulia mbele za haki.
Halafu, je wewe unajua kichomo ndani ya wosia huo? Pengine watoto wote wamegaiwa mgao.
Mimi shida yangu kubwa ni kuwa na mume wangu tu, hayo ya mali sijawahi pata shida
Mapenzi......wivu....hofu ya kuachwa......magonjwa...Kama mali ipo ya kutosha mwachie hubby aijaze dunia wakati wewe ukiwa bize na safari zako...
Kama mali ipo ya kutosha mwachie hubby aijaze dunia wakati wewe ukiwa bize na safari zako...
Wosia tayari upo. Mali sio issuePamoja na hayo, Sheria inasema Wanastahili Urithi. Hakuna mwanaharamu mbele ya Sheria bali wazazi haramu.
Kuwa positive ni kusema sawa housegirl atumike kingono, apewe ujauzito, aondolewe.
Aletwe mwingine, afanyiwe the same aondolewe.
Aje na mwingine and the chain iendelee.
Huko ndo kuwa positive?
Kuwa positive ni kushabikia kuwa ni sawa asipokuwa sawa na mke ,muathirika ni binti mnayechukua kwa Wazazi wake kwa ahadi za kuishi nae kama Wazazi na kumfanya kipozeo?
Huku ndiko kuwa positive?
Then ni sawa kuniona negative.
Tunasimama pande mbili tofauti za mto bro.
Huwezi kuona niko positive
Ukiandika haya unakuwa una emotional based opinion ( Hutu kakuhurumia)Woman, i love you. Wanawake tunatiaga huruma, ujinga wa mwanaume ila tutautafutia excuse ili ionekane tu haikuwa ni kosa lao. Wao ni watoto kila siku, hawana ufahamu wa kulijua jema lipi na baya lipi
Ujue nasoma comments hadi macho yanapoteza uono; like seriously ndiyo tumefika huku?Mabinti wengi wa kazi wanatoka kwenye familia zisizojiweza, wanakuja kwetu wenye unafuu kidogo angalau wajipatie ridhiki watunze familia zao. Imagine huku kwetu wanapotutegemea, ndiyo wanakutana na hawa wabakaji tunaowaita waume zetu: disgusting.
Majority ni watoto ambao hawawezi kujitetea; hawa waume zetu wanatake advantage wa unyonge wao. Wanawatia mimba afu tunaishia kiwafukuza warudi vijijini kwao wakaongeze ugumu wa maisha. Tunashiriki kuharibu maisha ya watoto wa wengine, afu tunajifanya "watoto wangu wapo vizuri tu na tunaishi kwa amani"; amani ipi hiyo wakati mnapanda uharibifu kwa watoto wa wengine? Huyo Mungu haoni machozi na magumu mnayoyapanda kwa watoto wa watu?
Hivi maids si wanatakiwa watreatiwe kama watoto wa nyumbani, tangu lini wamegeuka kuwa wake zenu? Mwanaume asiyeweza kuheshimu mabinti wa nyumbani kwake; huko nje si ndiyo papuchi zinamtambua kwa zipu? Na kama anaweza kulala na maid ambaye ni kama binti yake, siku akikosa maid si ndiyo atahamia kwa binti zake au watoto wake wa kiume? Vijana wa kiume wajifunzie kukojoa kwa maids, na wewe baba mzima ukalale na maid; no wonder unakuta familia nzima imeambukizwa gonjwa kisa tamaa. Mnavyovipanda kwa mabinti wa wenzenu; mtavivuna kwa vizazi vyenu. Ngoja siku muingie kwenye familia zilizoshindikanika, mkatie mimba watoto wa watu afu mjifanye kuwatelekeza; maji mtaita mma.
Mijinga mingine haina hata haya, eti kuna maids wana makalio; kwa hiyo na mabinti zenu wakiwa na makalio mtawalala? Huo ufirauni wenu uwe na limit.
Ila sijui kwann nashindwa kukasirika na the way unareplyWanakuwa waoga mwanzoni badae wazoefu na dharau juu
Ukiandika haya unakuwa una emotional based opinion ( Hutu kakuhurumia)
Mwingine atakwambia wewe ni feminist.
Mwingine anakwambia we unataka wenzio waipate ipate kama wewe.
Yani nasoma comments hapa nashindwa kabisa kuelewa umefika Kiwango kipi cha ukatili.
Yani dah.
Inajeruhi mno.
Hawa wasichana wa kazi wanachukuliwa na Umri mdogo kabisa.
Na mostly wanafanyiwa ukatili wa KINGONO kwnza ndipo anazoea na kuona ni wajibu wake.
Ila here we are,
Wake wanaona suluhu ni kumtupilia huko.
Waume wanaona ni sahihi ni haki yao.
Wanasahau hawa mabinti ndio wanawalelea watoto.
Huyu mke anayeshutumiwa kwa kusafirisafiri mwezi January wanagawana majukumu ya kodi na ada ,a shule.
Leo mwanaume very mighty, anaandika kitu hapa unasoma unasema aiseeeh.
Maisha yamekuwa changamoto sana kwa kweli.
Mungu atulindie mabinti zetu.
Mungu atusaidie sana
Sasa hapa ili niwe positive natakiwa niseme.Usiongee hili sababu hujakutana na binti mkali wewe. Of the same type that you like bro!
Unless uwe unavutiwa na akina Nsyuka tu wenye makope ya ajabu ajabu mjini na makucha nchi 2
Asante kunihurumia. Pia nawashukuru wote kwa ushuriki wenu. Nimeelewa kuwa sipo peke yangu, kuna wababa waliowatia mimba hadi binti zao wa kuwazaa nk. Wa kwangu miye kawatia mimba mabinti wa umri wa miaka 18_19 ndani ya muda wa miaka zaidi ya 10, sio mfululizo.Ila sijui kwann nashindwa kukasirika na the way unareply
Najikuta nakuonea huruma wakati hata havinihusu, kiherehere changu tu.
Na wacha tu nisutwe.
Ila kipenzi, uko so illusional.
Dah.
Hata nabii Ibrahim aliambiwa amuondoe mjakazi wake Hajir na mwanae baada ya kuingilia ndoa yake na Sarah. Ndo mana hadi leo kuna waisrael na wapalestina. Mungu atawabariki huko huko walipo.Mkuu Umesema wewe si mtu wa visasi.
Mtu asiye na visasi ni mtu mwenye moyo wa kuachilia, moyo wa kusamehe, moyo wa huruma, moyo wa kuchukulia na moyo wa upendo.
Unaposhabikia hao viumbe wasio na hatia kukosa usaidizi ni kisasi cha wazi kabisa.
Unapataje faraja hao viumbe wasio na hatia wakiishi maisha ya taabu na hali ya kuwa baba yao ana uwezo wa kuwasaidia?
Najua umeumia lakn jaribu kufikiria kwa makini hatima ya hao watoto hapa duniani endapo watakosa msaada.
😂😂😂😂😂😂😂😂Asante kunihurumia. Pia nawashukuru wote kwa ushuriki wenu. Nimeelewa kuwa sipo peke yangu, kuna wababa waliowatia mimba hadi binti zao wa kuwazaa nk. Wa kwangu miye kawatia mimba mabinti wa umri wa miaka 18_19 ndani ya muda wa miaka zaidi ya 10, sio mfululizo.
Pia nimegundua watu wengi wanapigania ndoa zao kwa sababu ya mali na urithi, bali mimi issue kubwa inayonitesa ni kuchangia rungu, inauma sipendi.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
BYE, BYE !
We msichana lzm single mother au hujaolewa,kwenye ndoa watu wanavumilia zaidi ya hayo,kwa nn umshangae mtoa mada as if mmewe ndio was Kwanza kuzaa na beki tatu??? Mi naona mtoa mada Yuko sahihi kisimama kwenye nafasi yake km mke,umalaya wa mme wake hauwezi kumfanya ashindwe kuwa mke,kahaba haachiwi mme my dear!!!Ila sijui kwann nashindwa kukasirika na the way unareply
Najikuta nakuonea huruma wakati hata havinihusu, kiherehere changu tu.
Na wacha tu nisutwe.
Ila kipenzi, uko so illusional.
Dah.
Sawa dear.We msichana lzm single mother au hujaolewa,kwenye ndoa watu wanavumilia zaidi ya hayo,kwa nn umshangae mtoa mada as if mmewe ndio was Kwanza kuzaa na beki tatu??? Mi naona mtoa mada Yuko sahihi kisimama kwenye nafasi yake km mke,umalaya wa mme wake hauwezi kumfanya ashindwe kuwa mke,kahaba haachiwi mme my dear!!!
Amina Asante dia kwa comment yako nzuri inayofaa kwa wanawake wote. Ni kweli mke hatakiwi kuikimbia ndoa yake au nyumba yake ambayo wamejenga wote na mumewe, aondoke aende wapi. Hakuna anayetakiwa kuondoka kati ya mume au mke maana wote pale kila mtu ni kwake.We msichana lzm single mother au hujaolewa,kwenye ndoa watu wanavumilia zaidi ya hayo,kwa nn umshangae mtoa mada as if mmewe ndio was Kwanza kuzaa na beki tatu??? Mi naona mtoa mada Yuko sahihi kisimama kwenye nafasi yake km mke,umalaya wa mme wake hauwezi kumfanya ashindwe kuwa mke,kahaba haachiwi mme my dear!!!
Unaonekana mwanamke/mke mwema sana. Hongera!Mapenzi......wivu....hofu ya kuachwa......magonjwa...