Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Sasa kuzaa na housegirl imekuwa nongwa? Wengine wanazaa na mama mkwe na maisha yanasonga kamakawai

Pamoja na hayo, Sheria inasema Wanastahili Urithi. Hakuna mwanaharamu mbele ya Sheria bali wazaziharam
Tayari tushaandika wosia. Ila pia sikatai kuwasaidia maana ni ndugu wa wanangu. Mali na takataka zote tulizo nazo tutaziacha
 
We jidanganye na jipe moyo tu. Hakuna mtoto haramu karne hii. .. shauri zako
 
Kama kuna kitu huwa hakinipi shida ni mali tulizonazo. Mungu analijua hili na ndo maana kanibariki kwa hilo. Pia kati yetu yoyote anaweza tangulia mbele za haki.
Halafu, je wewe unajua kichomo ndani ya wosia huo? Pengine watoto wote wamegaiwa mgao.
Mimi shida yangu kubwa ni kuwa na mume wangu tu, hayo ya mali sijawahi pata shida
 
Kama mali ipo ya kutosha mwachie hubby aijaze dunia wakati wewe ukiwa bize na safari zako...
 
Woman, i love you. Wanawake tunatiaga huruma, ujinga wa mwanaume ila tutautafutia excuse ili ionekane tu haikuwa ni kosa lao. Wao ni watoto kila siku, hawana ufahamu wa kulijua jema lipi na baya lipi

Ujue nasoma comments hadi macho yanapoteza uono; like seriously ndiyo tumefika huku?Mabinti wengi wa kazi wanatoka kwenye familia zisizojiweza, wanakuja kwetu wenye unafuu kidogo angalau wajipatie ridhiki watunze familia zao. Imagine huku kwetu wanapotutegemea, ndiyo wanakutana na hawa wabakaji tunaowaita waume zetu: disgusting.
Majority ni watoto ambao hawawezi kujitetea; hawa waume zetu wanatake advantage wa unyonge wao. Wanawatia mimba afu tunaishia kiwafukuza warudi vijijini kwao wakaongeze ugumu wa maisha. Tunashiriki kuharibu maisha ya watoto wa wengine, afu tunajifanya "watoto wangu wapo vizuri tu na tunaishi kwa amani"; amani ipi hiyo wakati mnapanda uharibifu kwa watoto wa wengine? Huyo Mungu haoni machozi na magumu mnayoyapanda kwa watoto wa watu?

Hivi maids si wanatakiwa watreatiwe kama watoto wa nyumbani, tangu lini wamegeuka kuwa wake zenu? Mwanaume asiyeweza kuheshimu mabinti wa nyumbani kwake; huko nje si ndiyo papuchi zinamtambua kwa zipu? Na kama anaweza kulala na maid ambaye ni kama binti yake, siku akikosa maid si ndiyo atahamia kwa binti zake au watoto wake wa kiume? Vijana wa kiume wajifunzie kukojoa kwa maids, na wewe baba mzima ukalale na maid; no wonder unakuta familia nzima imeambukizwa gonjwa kisa tamaa. Mnavyovipanda kwa mabinti wa wenzenu; mtavivuna kwa vizazi vyenu. Ngoja siku muingie kwenye familia zilizoshindikanika, mkatie mimba watoto wa watu afu mjifanye kuwatelekeza; maji mtaita mma.

Mijinga mingine haina hata haya, eti kuna maids wana makalio; kwa hiyo na mabinti zenu wakiwa na makalio mtawalala? Huo ufirauni wenu uwe na limit.
Kuwa positive ni kusema sawa housegirl atumike kingono, apewe ujauzito, aondolewe.
Aletwe mwingine, afanyiwe the same aondolewe.
Aje na mwingine and the chain iendelee.
Huko ndo kuwa positive?
Kuwa positive ni kushabikia kuwa ni sawa asipokuwa sawa na mke ,muathirika ni binti mnayechukua kwa Wazazi wake kwa ahadi za kuishi nae kama Wazazi na kumfanya kipozeo?
Huku ndiko kuwa positive?

Then ni sawa kuniona negative.
Tunasimama pande mbili tofauti za mto bro.
Huwezi kuona niko positive
 
Woman, i love you. Wanawake tunatiaga huruma, ujinga wa mwanaume ila tutautafutia excuse ili ionekane tu haikuwa ni kosa lao. Wao ni watoto kila siku, hawana ufahamu wa kulijua jema lipi na baya lipi

Ujue nasoma comments hadi macho yanapoteza uono; like seriously ndiyo tumefika huku?Mabinti wengi wa kazi wanatoka kwenye familia zisizojiweza, wanakuja kwetu wenye unafuu kidogo angalau wajipatie ridhiki watunze familia zao. Imagine huku kwetu wanapotutegemea, ndiyo wanakutana na hawa wabakaji tunaowaita waume zetu: disgusting.
Majority ni watoto ambao hawawezi kujitetea; hawa waume zetu wanatake advantage wa unyonge wao. Wanawatia mimba afu tunaishia kiwafukuza warudi vijijini kwao wakaongeze ugumu wa maisha. Tunashiriki kuharibu maisha ya watoto wa wengine, afu tunajifanya "watoto wangu wapo vizuri tu na tunaishi kwa amani"; amani ipi hiyo wakati mnapanda uharibifu kwa watoto wa wengine? Huyo Mungu haoni machozi na magumu mnayoyapanda kwa watoto wa watu?

Hivi maids si wanatakiwa watreatiwe kama watoto wa nyumbani, tangu lini wamegeuka kuwa wake zenu? Mwanaume asiyeweza kuheshimu mabinti wa nyumbani kwake; huko nje si ndiyo papuchi zinamtambua kwa zipu? Na kama anaweza kulala na maid ambaye ni kama binti yake, siku akikosa maid si ndiyo atahamia kwa binti zake au watoto wake wa kiume? Vijana wa kiume wajifunzie kukojoa kwa maids, na wewe baba mzima ukalale na maid; no wonder unakuta familia nzima imeambukizwa gonjwa kisa tamaa. Mnavyovipanda kwa mabinti wa wenzenu; mtavivuna kwa vizazi vyenu. Ngoja siku muingie kwenye familia zilizoshindikanika, mkatie mimba watoto wa watu afu mjifanye kuwatelekeza; maji mtaita mma.

Mijinga mingine haina hata haya, eti kuna maids wana makalio; kwa hiyo na mabinti zenu wakiwa na makalio mtawalala? Huo ufirauni wenu uwe na limit.
Ukiandika haya unakuwa una emotional based opinion ( Hutu kakuhurumia)
Mwingine atakwambia wewe ni feminist.
Mwingine anakwambia we unataka wenzio waipate ipate kama wewe.

Yani nasoma comments hapa nashindwa kabisa kuelewa umefika Kiwango kipi cha ukatili.

Yani dah.
Inajeruhi mno.
Hawa wasichana wa kazi wanachukuliwa na Umri mdogo kabisa.

Na mostly wanafanyiwa ukatili wa KINGONO kwnza ndipo anazoea na kuona ni wajibu wake.

Ila here we are,
Wake wanaona suluhu ni kumtupilia huko.
Waume wanaona ni sahihi ni haki yao.

Wanasahau hawa mabinti ndio wanawalelea watoto.
Huyu mke anayeshutumiwa kwa kusafirisafiri mwezi January wanagawana majukumu ya kodi na ada ,a shule.
Leo mwanaume very mighty, anaandika kitu hapa unasoma unasema aiseeeh.
Maisha yamekuwa changamoto sana kwa kweli.

Mungu atulindie mabinti zetu.

Mungu atusaidie sana
 
Kwani hujawaozea kina Sheikh Yahya wa humu; ukiandika kinyume na mawazo yao basi watakutabiriaje na kukuita kila majina wanayohisi yanawapa amani nafsini mwao pyeeeeee

Ifike mahali hawa wapuuzi walipie unyanyasaji wao wa kingono wanaowafanyia mabinti za watu. Kuna mikurubembe myenzao huko nje kibao, kwa nini wasiitafute nyege zikiwazidi?

Eti kwa nini ulisafiri; ndiyo excuse ya mwanaume kulala na maid? Hakuna wanaume wanaosafiri kikazi au kibiashara humu, wanasafirigi na papuchi za wake zao au huku nyuma wake zao nao wapate excuse ya kulala na house boys? Shwain zao na robo tatu
Ukiandika haya unakuwa una emotional based opinion ( Hutu kakuhurumia)
Mwingine atakwambia wewe ni feminist.
Mwingine anakwambia we unataka wenzio waipate ipate kama wewe.

Yani nasoma comments hapa nashindwa kabisa kuelewa umefika Kiwango kipi cha ukatili.

Yani dah.
Inajeruhi mno.
Hawa wasichana wa kazi wanachukuliwa na Umri mdogo kabisa.

Na mostly wanafanyiwa ukatili wa KINGONO kwnza ndipo anazoea na kuona ni wajibu wake.

Ila here we are,
Wake wanaona suluhu ni kumtupilia huko.
Waume wanaona ni sahihi ni haki yao.

Wanasahau hawa mabinti ndio wanawalelea watoto.
Huyu mke anayeshutumiwa kwa kusafirisafiri mwezi January wanagawana majukumu ya kodi na ada ,a shule.
Leo mwanaume very mighty, anaandika kitu hapa unasoma unasema aiseeeh.
Maisha yamekuwa changamoto sana kwa kweli.

Mungu atulindie mabinti zetu.

Mungu atusaidie sana
 
Usiongee hili sababu hujakutana na binti mkali wewe. Of the same type that you like bro!

Unless uwe unavutiwa na akina Nsyuka tu wenye makope ya ajabu ajabu mjini na makucha nchi 2
Sasa hapa ili niwe positive natakiwa niseme.
"Ndiyo Mkuu, dada anakuja kisu kikatili.
Your own type bro.
Yani unaachaje kumega sasa, kula muhimuuuu."

Hapa ndo ngekuwa positive na maswala ya ndoa.
Maswala yenyewe ya ndoa ndo haya unataka niwe nayo positive😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila sijui kwann nashindwa kukasirika na the way unareply
Najikuta nakuonea huruma wakati hata havinihusu, kiherehere changu tu.
Na wacha tu nisutwe.
Ila kipenzi, uko so illusional.

Dah.
Asante kunihurumia. Pia nawashukuru wote kwa ushuriki wenu. Nimeelewa kuwa sipo peke yangu, kuna wababa waliowatia mimba hadi binti zao wa kuwazaa nk. Wa kwangu miye kawatia mimba mabinti wa umri wa miaka 18_19 ndani ya muda wa miaka zaidi ya 10, sio mfululizo.
Pia nimegundua watu wengi wanapigania ndoa zao kwa sababu ya mali na urithi, bali mimi issue kubwa inayonitesa ni kuchangia rungu, inauma sipendi.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
BYE, BYE !
 
Mkuu Umesema wewe si mtu wa visasi.

Mtu asiye na visasi ni mtu mwenye moyo wa kuachilia, moyo wa kusamehe, moyo wa huruma, moyo wa kuchukulia na moyo wa upendo.

Unaposhabikia hao viumbe wasio na hatia kukosa usaidizi ni kisasi cha wazi kabisa.

Unapataje faraja hao viumbe wasio na hatia wakiishi maisha ya taabu na hali ya kuwa baba yao ana uwezo wa kuwasaidia?

Najua umeumia lakn jaribu kufikiria kwa makini hatima ya hao watoto hapa duniani endapo watakosa msaada.
Hata nabii Ibrahim aliambiwa amuondoe mjakazi wake Hajir na mwanae baada ya kuingilia ndoa yake na Sarah. Ndo mana hadi leo kuna waisrael na wapalestina. Mungu atawabariki huko huko walipo.
Bye.
 
Asante kunihurumia. Pia nawashukuru wote kwa ushuriki wenu. Nimeelewa kuwa sipo peke yangu, kuna wababa waliowatia mimba hadi binti zao wa kuwazaa nk. Wa kwangu miye kawatia mimba mabinti wa umri wa miaka 18_19 ndani ya muda wa miaka zaidi ya 10, sio mfululizo.
Pia nimegundua watu wengi wanapigania ndoa zao kwa sababu ya mali na urithi, bali mimi issue kubwa inayonitesa ni kuchangia rungu, inauma sipendi.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
BYE, BYE !
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila sijui kwann nashindwa kukasirika na the way unareply
Najikuta nakuonea huruma wakati hata havinihusu, kiherehere changu tu.
Na wacha tu nisutwe.
Ila kipenzi, uko so illusional.

Dah.
We msichana lzm single mother au hujaolewa,kwenye ndoa watu wanavumilia zaidi ya hayo,kwa nn umshangae mtoa mada as if mmewe ndio was Kwanza kuzaa na beki tatu??? Mi naona mtoa mada Yuko sahihi kisimama kwenye nafasi yake km mke,umalaya wa mme wake hauwezi kumfanya ashindwe kuwa mke,kahaba haachiwi mme my dear!!!
 
Sawa dear.
 
Amina Asante dia kwa comment yako nzuri inayofaa kwa wanawake wote. Ni kweli mke hatakiwi kuikimbia ndoa yake au nyumba yake ambayo wamejenga wote na mumewe, aondoke aende wapi. Hakuna anayetakiwa kuondoka kati ya mume au mke maana wote pale kila mtu ni kwake.
 
Back
Top Bottom