Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ni simu naifuatilia kwa karibu pamoja na oukutel 6000 soon notaiweka mkononi
 
Nipe maelezo ya kina ya kufanya hio kitu plz ndugu

1. Kwanza utabidi ufanye bootloader unlock, Http://en.Miui.Com/unlock/
2. Download fastboot ROM ya device yako, Xiaomi MIUI Official Forum ukishadownload extract hilo file (itabidi uwe na program ya kudecompress hilo file e.G. Winrar) tena nenda pale ulipo extract, liextract hilo file utaona kuna vifile vingine kwa ndani.
3. Install mi flash kwenye computer yako Https://goo.Gl/78mdho
4. Zima simu yako, ikishazima bonyeza volume down+power button utaona imewaka kwenye fastboot
5. Fungua mi flash na enda sehemu ya select uchague pale ulipo extract ile ROM yako. Then press refresh itadetect simu yako kisha press flash na hapo usubiri mpaka imalize.

Note: Hawa jamaa wanaweza chelewa kukupa permission ya kunlock device bootloader yako for few days.
Pia hakikisha unadownload correct rom file ya simu yako maana hizo simu kuna za mediatek na qualcomn
You can watch this guide
 
Babu hii kujuu juu ngumu,mpaka ukute mtu mwenyewe ni nunda wa mambo ya rooting ndo anaweza kuelewa
 
Hii ibatofaut gan na Infinix
Xiaomi ni kampuni nyingine kabisa tofauti na Infinix, hawa jamaa wanatengeneza simu zinazocompete na flagship kama za Samsung, LG etc. Mfano mi6 na mi mix 2 Zina the same processor kama za s8/note 8/LG G6/v30 Tofauti na Infinix wanatengeneza simu zinazotumia mid-range SOC (from mediatek)
 
Kwa hyo unaniambia infinix cha mtoto?? Ni android au
 
Kwa hyo unaniambia infinix cha mtoto?? Ni android au
Infinix hamna kitu, kuna Dogo nilitaka kumuachia Xiaomi Redmi 4A kwa tsh 240,000 akaidharau kwavile ina lebo ya China mobile kwa nyuma.
Akaenda kuchukua Infinix zero 4.
Miezi 3 Sasa Xiaomi bado ipo vile vile kama mpya ila jamaa Infinix yake imepiga shoti tayari hivyo ela imeenda
 
Ngoja tuendelee faidi zaidi aisee
 
Kwa mtu aliyewahi kufika china,wachina wengi wanatumia xiaomi na iphone na oppo tu!
 
Haswaaa maana sio kwa kuuzuri huu nafaidi sana aisee simu iko smooth kama vile sio android kabisa kaka
 
Xiaomi unaweza kujikuta mtaa mzima unayo peke yako,bado hazijaingia bongo sishangai watu kusema hii simu kichomi
Kwa mtu aliyewahi kufika china,wachina wengi wanatumia xiaomi na iphone na oppo tu!
Mkuu wewe unatumia xiaomi toleo lipi hebu tujaribuni na kushare pia apps nzuri nzuri mnazozitumia kwenye xiaomi devices au mautundu tu ya xiaomi kiujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…