Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe maelezo ya kina ya kufanya hio kitu plz ndugu
Wanapatikana wapi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa bei zao nzur, kama hyo xiaomi redmi 4x 250000/=
Njoo kwenye Forex ni kawaida Kuagiza simu za $800Mkuu inaonyesha unapesa mob.
1. Kwanza utabidi ufanye bootloader unlock, Http://en.Miui.Com/unlock/
2. Download fastboot ROM ya device yako, Xiaomi MIUI Official Forum ukishadownload extract hilo file (itabidi uwe na program ya kudecompress hilo file e.G. Winrar) tena nenda pale ulipo extract, liextract hilo file utaona kuna vifile vingine kwa ndani.
3. Install mi flash kwenye computer yako Https://goo.Gl/78mdho
4. Zima simu yako, ikishazima bonyeza volume down+power button utaona imewaka kwenye fastboot
5. Fungua mi flash na enda sehemu ya select uchague pale ulipo extract ile ROM yako. Then press refresh itadetect simu yako kisha press flash na hapo usubiri mpaka imalize.
Note: Hawa jamaa wanaweza chelewa kukupa permission ya kunlock device bootloader yako for few days.
Pia hakikisha unadownload correct rom file ya simu yako maana hizo simu kuna za mediatek na qualcomn
You can watch this guide
Xiaomi ni kampuni nyingine kabisa tofauti na Infinix, hawa jamaa wanatengeneza simu zinazocompete na flagship kama za Samsung, LG etc. Mfano mi6 na mi mix 2 Zina the same processor kama za s8/note 8/LG G6/v30 Tofauti na Infinix wanatengeneza simu zinazotumia mid-range SOC (from mediatek)Hii ibatofaut gan na Infinix
Kwa hyo unaniambia infinix cha mtoto?? Ni android auXiaomi ni kampuni nyingine kabisa tofauti na Infinix, hawa jamaa wanatengeneza simu zinazocompete na flagship kama za Samsung, LG etc. Mfano mi6 na mi mix 2 Zina the same processor kama za s8/note 8/LG G6/v30 Tofauti na Infinix wanatengeneza simu zinazotumia mid-range SOC (from mediatek)
Download playstore for xiaomiMkuu ina play store au haina nikupe ujanja flani
Infinix hamna kitu, kuna Dogo nilitaka kumuachia Xiaomi Redmi 4A kwa tsh 240,000 akaidharau kwavile ina lebo ya China mobile kwa nyuma.Kwa hyo unaniambia infinix cha mtoto?? Ni android au
Ngoja tuendelee faidi zaidi aiseeInfinix hamna kitu, kuna Dogo nilitaka kumuachia Xiaomi Redmi 4A kwa tsh 240,000 akaidharau kwavile ina lebo ya China mobile kwa nyuma.
Akaenda kuchukua Infinix zero 4.
Miezi 3 Sasa Xiaomi bado ipo vile vile kama mpya ila jamaa Infinix yake imepiga shoti tayari hivyo ela imeenda
Kwa mtu aliyewahi kufika china,wachina wengi wanatumia xiaomi na iphone na oppo tu!Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.
Xiaomi unaweza kujikuta mtaa mzima unayo peke yako,bado hazijaingia bongo sishangai watu kusema hii simu kichomi
Mkuu wewe unatumia xiaomi toleo lipi hebu tujaribuni na kushare pia apps nzuri nzuri mnazozitumia kwenye xiaomi devices au mautundu tu ya xiaomi kiujumlaKwa mtu aliyewahi kufika china,wachina wengi wanatumia xiaomi na iphone na oppo tu!
MiaNgoja tuendelee faidi zaidi aisee