Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Mkiambiwa msile nguruwe Wana madhara kwenye ubongo mnabisha matokeo yake ndio haya unakuja kutuanzishia Uzi km mtoto wa primary kumbe mtu mzima na midevu yakoIsrael ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola
INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi
Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga
INgawa wakati mwingine unawaza watoto wanaweza kugeuzwa magaidi pia bila Huruma na magaidi
Hawa nao vipi walikua wanalinda magaidi!??Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola
INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi
Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga
INgawa wakati mwingine unawaza watoto wanaweza kugeuzwa magaidi pia bila Huruma na magaidi
Unabweka kutokea wapi..?Hawa nao vipi walikua wanalinda magaidi!??
Kama ulikua hujui Hibzollah ina kambi zake mipakani na Lebanon na pia inatumia kambi za jeshi la Lebanon.
Hizbollah ina millitary camp kabisa.
Propaganda zenu za kudanganya eti watu hujificha nyuma ya raia mtadanganya MAFALA wenzenu ila sio sisi.View attachment 3105020View attachment 3105021View attachment 3105020View attachment 3105021
Umeleta huo uthibitisho unaniita nabweka!?Unabweka kutokea wapi..?
Hivi kwa akili ya kawaida unaeza mtumia mtoto kama kinga?Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola
INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi
Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga
INgawa wakati mwingine unawaza watoto wanaweza kugeuzwa magaidi pia bila Huruma na magaidi
MadrasaUnabweka kutokea wapi..?
Sawa nenda na ww ukawawahi mabkra 72Madrasa
Najua huna akili za kujibu hojaMkiambiwa msile nguruwe Wana madhara kwenye ubongo mnabisha matokeo yake ndio haya unakuja kutuanzishia Uzi km mtoto wa primary kumbe mtu mzima na midevu yako
Kwa akili ya kawaida huweziHivi kwa akili ya kawaida unaeza mtumia mtoto kama kinga?
Israel Vita vyake ni vya kishetani ye anaua yeyote ,
Tatizo lenu mnazani wale si watenda zambi hapo tuh ndio mnatofautiana
Hizo kambi ni Geresha tuHawa nao vipi walikua wanalinda magaidi!??
Kama ulikua hujui Hibzollah ina kambi zake mipakani na Lebanon na pia inatumia kambi za jeshi la Lebanon.
Hizbollah ina millitary camp kabisa.
Propaganda zenu za kudanganya eti watu hujificha nyuma ya raia mtadanganya MAFALA wenzenu ila sio sisi.View attachment 3105020View attachment 3105021View attachment 3105020View attachment 3105021
Una ushahidi wa kuwa hizo silaha zinakaa katikati ya raia??Hizo kambi ni Geresha tu
Sasa silaha katikati ya raia zinatoka wapi ???
Huo unafiki wa waarabu mwisrael ameshaufahamu na hacheki nao tena
Fuatilia habari Hizo zinazolipuliwa katikati ya makazi ni majiko ya gas ya wananchi sio ???Una ushahidi wa kuwa hizo silaha zinakaa katikati ya raia??
Tuletee uthibitisho hapa sasa hivi maana Israel kashindwa kuonesha ushahidi.
Tuletee wewe ushahidi.
Una ushahidi wa kuwa hizo silaha zinakaa katikati ya raia??
Tuletee uthibitisho hapa sasa hivi maana Israel kashindwa kuonesha ushahidi.
Tuletee wewe ushahidi.
Unatumia akili bro!??Fuatilia habari Hizo zinazolipuliwa katikati ya makazi ni majiko ya gas ya wananchi sio ???