Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola
INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi
Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga
INgawa wakati mwingine unawaza watoto wanaweza kugeuzwa magaidi pia bila Huruma na magaidi