Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

Bro vipi!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu ndio ushahidi wako!??
Yani mswahili mwenzako ameandika habari hajaambatanisha na UTHIBITISHO WOWOTE na wewe unatumia kama reference!??
Nini hii!??
 
Mkiambiwa msile nguruwe Wana madhara kwenye ubongo mnabisha matokeo yake ndio haya unakuja kutuanzishia Uzi km mtoto wa primary kumbe mtu mzima na midevu yako
Kuandika tu hajui utasikia kulwani hiznolla hahaaa
 
Hizbollah Wana haki gan kuoperate ndani ya Lebanon ?
UKITAKA KUWA JAMBAZI NA UFANIKIWE BASI INGIZA UISLAM KWENY MIKAKATI YAKO
 
Bro vipi!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu ndio ushahidi wako!??
Yani mswahili mwenzako ameandika habari hajaambatanisha na UTHIBITISHO WOWOTE na wewe unatumia kama reference!??
Nini hii!??
View attachment 3107021
Najua mnafundishwa kubisha tu bila hoja
Hizo video umeacha ukakimbilia kusema mswahili kwani ww unaebisha ni mzungu au unajiona mwarabu mweusi

Mnafundishwa kutetea jambo hata Kwa kutumia uongo hapo ndo ujinga wenu unaanzia
 
Zikowapi hizo video!?
Nimetizama sijaona video yeyote.
Ilete hapa hiyo video.
 
Halafu hata haujiulizi kama ni kweli makombora yanafichwa uraiani si ingekua balaa hiyo milipuko waliyolipua Israel!?
Maana ukilipua sehemu yenye milipuko hakuna kitakachobaki salama maana milipuko nayo italipuka kilazima kuathiri sehemu kubwa ya eneo.
Je hilo mlijiuliza!??
Ushabiki umewatoa akili.
 
Zikowapi hizo video!?
Nimetizama sijaona video yeyote.
Ilete hapa hiyo video.
Umechagua kubisha bila hoja huwezi kuziona
Israel Kila inaposhambulia silaha au makazi ya magaidi yaliyopo kati kati ya raia inatoa taarifa

Kilichofanya wabaki nini ???
Maanake na wenyewe ni magaidi au wanalinda magaidi
Pia wameamua kutumia watoto na wake zao Kama Kinga makusudi

Kwa hiyo ni maamuzi yao wanavuna
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hiyo thread nzima nimeiona sijaona sehemu ikionekana kuna silaha za Hizbollah zinateketezwa.
Ni milipuko tu inatokea.
Pia embu jiulize,kama ni kweli maghala ya silaha yanalipuliwa kwanini mlipuko sio mkubwa ni mdogo!?
Pia kwanini bado Hizbollah wanapata makombora ya kurusha kama maghala yao yanalipuliwa!?
Sometimes just use your sanity bro.
 
Ikifika mwezi wa ramadhani kijiwe changu cha kitimoto nafunga kabisa, nyama hahitoki napataga hasara tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…