Bro vipi!?ππππππIsrael yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel. Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa.www.jamiiforums.com
Huu ndio ushahidi wako!??
Yani mswahili mwenzako ameandika habari hajaambatanisha na UTHIBITISHO WOWOTE na wewe unatumia kama reference!??
Nini hii!??