Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

Hivi kwanini asingegombea kigamboni maana mpinzani wake wa kipindi kile ndungulile hayupo tena, sijui mshauri wake nani kipindi kile jimbo la ubungo lilikuwa halina upinzani kiivo akaacha akaenda kugombea kigamboni wakati alikuwepo ndungulile na magu asingeweza kumkata ndungulile kisa yeye, sasa kaacha kigamboni kakimbilia Arusha 🙄, tatizo wanapenda kutumia nguvu sio akili
 
Hivi kwanini asingegombea kigamboni maana mpinzani wake wa kipindi kile ndungulile hayupo tena, sijui mshauri wake nane kipindi kile jimbo la ubungo lilikuwa halina upinzani kiivo akaacha akaenda kugombea kigamboni wakati alikuwepo ndungulile na magu asingeweza kumkata ndungulile kisa yeye, sasa kaacha kigamboni kakimbilia Arusha 🙄, tatizo wanapenda kutumia nguvu sio akili
Kaka makonda hajawahi kuwa na Akili hata siku moja...Hakuapata Div 0 form four bure ndio maana Gwajima alikuwa anamwita Zero Brain...
 
Kaka makonda hajawahi kuwa na Akili hata siku moja...Hakuapata Div 0 form four bure ndio maana Gwajima alikuwa anamwita Zero Brain...
Ruge ndo alikuwaga msuka mipango na mambo yaliwaenda vizuri, sasa Mungu kamsafishia njia kigamboni nae hapataki tena sasa sijui ni kisasi kumkomesha gambo maana kipindi kile gambo alitamba wakati yeye alikatwa na asipofanya maendeleo Arusha hawezi kudumu yatakuja mkuta kama ya february
 
Hizo mimi hazinihusu, maana najua hata akipita makonda, huku Arusha asilimia 90 watu wake ni wapinzani...ccm haina ngome yeyote humu, labda wabake tu uchaguzi
Mimi ni mkazi wa Arusha sikutaka apite ila tunazungumzia uhalisia uliopo kwa sasa hivi sasa mazee upo mbali na ukweli umekuja na majibu yako kuwa hapiti..
 
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama sukari ya vigogo wa serikali hafanyi lolote zaidi kuuza sura sasa urembo umeshaisha kawa mshangazi akaja tena kwa wamama kutaka kura..
Unaambiwa kujiamini kwake kulikuwa ni kutokana na mpunga mkubwa aliotoa kwa wajumbe kushinda washindani wenzake wote, hakulala usiku nak kucha kuzunguka kumwaga pesa (rushwa) ila alichofanywa jana hakuambia...CATHERNE MAGIGE JANA AKAFANYWA MBAYA.
HILI ni ANGALIZO KWA PAUL MAKONDA anayedhani kuwa WAJUMBE NI RAFIKI ZAKE, Mimi kama Nabii wa Nyikani, nawaambia kuwa PAUL MAKONDA ATAFANYWA KITU HATAAMINI NA WAJUMBE WA CHAMA CHAKE , ASIFIKIRI YUKO SALAMA KWA KUJIAMINI BAADA YA KUFANYA FIGISU ZAKE KWA GAMBO KUFANIKIWA.
Makonda Sikia, Arusha hutakaa kuwa mbunge wake sio kwenye kura za uchaguzi mkuu wala kwenye kura zenu za wajumbe wa CCM.
Catherine Magige mwezako keshanyolewa wewe TIA MAJI.
Tupe picha yake tusibitishe kama alikuwa mrembo kweli au ni chuki tu
 
Hivi kwanini asingegombea kigamboni maana mpinzani wake wa kipindi kile ndungulile hayupo tena, sijui mshauri wake nani kipindi kile jimbo la ubungo lilikuwa halina upinzani kiivo akaacha akaenda kugombea kigamboni wakati alikuwepo ndungulile na magu asingeweza kumkata ndungulile kisa yeye, sasa kaacha kigamboni kakimbilia Arusha 🙄, tatizo wanapenda kutumia nguvu sio akili
Si kaona kule Arusha akiwapa bangi wadudu baaasi watambeba na kumuuza kama wanavyofanya na wajumbe watafikiri ni bonge la mtu kumbe ni bangi za wadudu ndo zinawazuzua. Watu wa dsm hawaangalii sura
 
Makonda Arusha atawekwa hawezi kupitishwa na wajumbe ila atawekwa kwa nguvu kutoka juu . Atapita kwa nguvu ya shinikizo na maelekezo kutoka juu kwa sababu nguvu kutoka juu ndio inayotoa maelekezo ya hili chezo.
Stay Tuned
 
Kosa watalofanya kamati kuu kumrudisha makonda kwa lazima na wajumbe ikiwa wamemkataa hawataamini, pona yao itakuwa tu kama Chadema haitashiriki uchaguzi
Kwa hyo hii tume tunayo ilalamikia kumbe ni safi na itatenda haki kwa mgombea wa CHADEMA? MACHADEMA hawaeleweki kabisa
 
Back
Top Bottom