Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

Hivi kwanini asingegombea kigamboni maana mpinzani wake wa kipindi kile ndungulile hayupo tena, sijui mshauri wake nani kipindi kile jimbo la ubungo lilikuwa halina upinzani kiivo akaacha akaenda kugombea kigamboni wakati alikuwepo ndungulile na magu asingeweza kumkata ndungulile kisa yeye, sasa kaacha kigamboni kakimbilia Arusha 🙄, tatizo wanapenda kutumia nguvu sio akili
Ubungo Jimbo gani sasa like Jimbo la kulazmisha halieleweki linaanzia wapi linaishia wapi,
makonda anataka Jimbo lennye kiki kubwa,
Hulielezei mara mbili
 
Back
Top Bottom