Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
NjaaaMakonda anashinda Hapo Arusha Mapema tu hiyo iweke akilini.
NjaaaMakonda anashinda Hapo Arusha Mapema tu hiyo iweke akilini.
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama sukari ya vigogo wa serikali hafanyi lolote zaidi kuuza sura sasa urembo umeshaisha kawa mshangazi akaja tena kwa wamama kutaka kura..
Unaambiwa kujiamini kwake kulikuwa ni kutokana na mpunga mkubwa aliotoa kwa wajumbe kushinda washindani wenzake wote, hakulala usiku nak kucha kuzunguka kumwaga pesa (rushwa) ila alichofanywa jana hakuambia...CATHERNE MAGIGE JANA AKAFANYWA MBAYA.
HILI ni ANGALIZO KWA PAUL MAKONDA anayedhani kuwa WAJUMBE NI RAFIKI ZAKE, Mimi kama Nabii wa Nyikani, nawaambia kuwa PAUL MAKONDA ATAFANYWA KITU HATAAMINI NA WAJUMBE WA CHAMA CHAKE , ASIFIKIRI YUKO SALAMA KWA KUJIAMINI BAADA YA KUFANYA FIGISU ZAKE KWA GAMBO KUFANIKIWA.
Makonda Sikia, Arusha hutakaa kuwa mbunge wake sio kwenye kura za uchaguzi mkuu wala kwenye kura zenu za wajumbe wa CCM.
Catherine Magige mwezako keshanyolewa wewe TIA MAJI.
🤣🤣🤣Huyo Catherine magige alistahili hiyo adhabu.hakuna cha maana alichokua anafanya zaidi ya kupost picha za makalio huko instagram.
Hiyo sio ngome ya upinzani kwa sasaWalisema hivyo hata Kigamboni....Makonda hawezi kuwa Mbunge wa Hapa Arusha, sisi wana Arusha sio mafala hata siku moja..kwanza ujue Arusha sio jimbo la ccm ni ngome ya upinzano, PONA YAKE NI TU ITOKEE CHADEMA ISISHIRIKI UCHAGUZI HAPO SAWA AKIWA AMEPITA NA CHAMA CHAKE ATAJICHAGUA
Anashinda tuko hapaLabda kwa Kigamboni kwenu ila sio hii Arusha yetu
Kwani Gambo hiyo 2015 alishinda Kura au alipewa Ubunge??....Walisema hivyo hata Kigamboni....Makonda hawezi kuwa Mbunge wa Hapa Arusha, sisi wana Arusha sio mafala hata siku moja..kwanza ujue Arusha sio jimbo la ccm ni ngome ya upinzano, PONA YAKE NI TU ITOKEE CHADEMA ISISHIRIKI UCHAGUZI HAPO SAWA AKIWA AMEPITA NA CHAMA CHAKE ATAJICHAGUA
😁😁Huyo Catherine magige alistahili hiyo adhabu.hakuna cha maana alichokua anafanya zaidi ya kupost picha za makalio huko instagram.
Timing yake ilikuwa mbaya Kuna msemo unaosema sio Kila vita ni yakupigana ukiona Kuna vita itakushinda basi kukimbia sio UjingaGambo kafanyiwa figisu na Mchengerwa baada ya kuibua ufisadi ulio chini ya Tamisemi.
Na asingeibua ule ufisadi asingekatwa juu kwa juu .
Eti labda wabake uchaguzi,inamaana hujuagi kinachofanyikaga?Hizo mimi hazinihusu, maana najua hata akipita makonda, huku Arusha asilimia 90 watu wake ni wapinzani...ccm haina ngome yeyote humu, labda wabake tu uchaguzi
Timing yake ilikuwa mbaya Kuna msemo unaosema sio Kila vita ni yakupigana ukiona Kuna vita itakushinda basi kukimbia sio Ujinga
Kitendo Cha kufichua ule ufisadi Kwa yule Jamaa wakati ni mkwe wa chairman ni sawa na kusema kwamba Ile family yote ni mafisadi so wasingeweza kumuacha salama
So TISS ya tz siipo mikononi mwa chair man , Anawezaje kuwa salama pale atakapo amua kugusa maslahi ya chairman!?Kilichokuwa kinampa kiburi nikwakuwa amefanya kazi TISS so alifikiri is untouchable guy .
Ila pia na karma imefanya Kazi.
ataly sana ilo shangazi bonge la Tako alaf jeupee sio poaPicha ingependeza mkuu tuuone huo mshangazi wa mjengoni.