Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

Duh kunawatu hawana huruma kabisa km mtoto wa mumewe tu ni hivo anaweza saidia mtu kweli asie nduguyake hata km ni makubaliano lakin hapana sio Kwa style hiyo
Mwanamke anayenipa masharti nikayatii ni yule simjachakata tu baada ya hapo yeye ndo anatakiwa afuate masharti yangu
 
Sawa lakin siyo mpaka kusababisha miscarriage Kwa kujiliza ovyo ovyo kwani angeamua kusema mm basi na akajifungua mtoto wake kungekua na tatizo gani binadamu wengine wanapenda kukomplecate vitu sana
Maisha yenyewe mafupi usiyojua utakufa Lini
 
Huyo Dada ndio chanzo cha kuvunjika kwa Ndoa ya Kaka yake.
Atamshuluru baadae saiv hawezi ona kama alifanya kitu Cha maana na hata SI yeye aliyebaini mtoto wake mwenyewe angemtafuta baba yake ukubwani na ingefahamika mana SI wanafanana
 
Kama alidanganya hana mtoto na anae mtoto huyo ni wa kumpa talaka tu.

Kipofu haachi gongo lake.
 
Anajutia Kwa kua Kila mtu aNamlaumu ila Yuko sawa kabisa na baadae atakuja amshukuru Sasa hivi huyo dogo lako anaakili za kupepesa
Ila dada yangu yule anajutia sana kwa tukio kile mpaka leo. Kihelehele chake cha kutoa taarifa.
 
Dada ashikilie msimamo kama litaka mechi ianze 1-1 aombe talaka yupo sawa. Na hiyo sio roho mbaya kila mtu ana vigezo vyake wanaosema mwanaume kuwa na mtoto sio sababu ya kuachana ni wanafiki je huyo mwanaume angegundua dada ana mtoto kabla kaficha comments zingekuwaje humu? Mngesema mkaka akubaliane kirahisi?
 

Huyo dada hana sifa ya kuwa mke. Maisha ni very complicated, people must be open minded to survive.

Mfano mimi wakati nipo high school, nilikuwa namla kisela bekitatu wa mtaani. Sasa baadae akaondoka bila taarifa na kipindi kile hata simu za mkononi hamna.

Bekitatu mwenyewe anatokea mkoa mwingine. Kumbe yule dada inaonekana alishika mimba yangu. Toka 2002. Nakuja kufahamishwa 2016. Tena nafahamishwa na kaka ambaye tulikuwa naye high school japo yeye alikuwa mbele yangu. Yule dada alikuwa anafanya kazi kwao na alikuwa kama ndugu wa mbali.

Hizi taarifa nakuja kuzipata baada ya kundi la whatsapp kuundwa, ndo jamaa anashangaa kuniona kwenye kundi, kama utani ananiambia we mjinga ulimtia bekitatu wetu mimba, binti yako amekuwa mtu mzima tayari.

Imagine all that time. Sikuwa na taarifa wala nini coz nilivyomaliza high school nikahamia Dar, baadae nikahamia ughaibuni napoishi mpaka leo.

Tatizo ni mpaka sasa sijakutana na huyo mwanangu coz huyu kaka aliyenipa taarifa ni cha pombe hatari hataki kuniunganisha na mama mtoto. Inawezekana sitamuona mtoto wangu ati.
 
wifi na mama mkwe.
Wangemshirikisha mwali mapema au wangenyamaza tu, mwisho mtoto angemjua tu baba yake
 
Hiyo mke kimeo, mwanamke ndo anaangaliwa past, mwanaume anaangaliwa future, sasa mtoto wa mwanaume kinakuuma nini.
 
Mikasa Kama hii inaumiza Sana. Binafsi imenitokea Mimi mwenyewe lakin mazingira tofauti ila story Ni hiyo tu na ndoa yangu ya kanisani ikavunjika lakini nikiwa na mtoto ambaye nilimpata sikujua kabla ya ndoa na nikipindi ambapo mchumba alinikataa nikamkubalia nika move on akarudi asamehewe tufunge ndoa nikamuoa sbb na history nae na sikutaka imsumbue peke yake ya kutokupata mtoto mapema.

Aisee inauma Sana yan lakini nimezoea Sasa angalau nna mtoto na yy Hana. Na imani hata pata kamwe na ninamuchukia Sana sbb alinipeleka mahakamani na kunisingizia vitu ambavyo sikuwah kumfanyia kisa ana pesa nilinyamaza kimya na Yesu wangu nikaruhusu hakimu afanye anavoona inafaa.sbb Mungu alinifunulia upuuzi wao na mahakimu wake nikasema hata Yesu aliuzwa.

Yule Dada hata kaa azae si kwa maneno yangu lakin kwa Mimi kukazia hukumu yangu iwe Kama nilivyohukumiwa
 
Dada mtu alijua fika kua akilifumbua hilo ndoa itavunjika na ndivyo alivyotaka na likatokea. Si ajabu wala hakwenda kikazi ila alienda kumtafuta huyo dada baada ya kumuona mahali.
 
Haya mambo ya kuzaa na mwanamke na usijue ni kawaida. Mimi first born wangu nimemfahamu akiwa tayari na miaka 9. Mama yake nilichapa mara moja tu na sikua na muendelezo nae tena. Lakini cha ajabu yeye alikua na means ya kunipata na home anapajua. Alikuja nitafuta kipindi kuna mwanaume anataka kumuoa akampa sharti la kumpeleka mtoto kwa baba yake. Kwa kumuangalia dogo, ni copy yangu, sikutaka vita nyingi. Nikamwambia ampeleke kwa bibi[mama yake mwanamke] then nitaendelea muhudumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…