vanessa criwder
Member
- Dec 2, 2013
- 7
- 1
Ndugu zanguni kama kuna m2 anajua utaratibu naomba anijuze(Kama tamisemi wame2ma barua ya uhamisho wilayani na ikapotea je unaweza kufanya utaratibu gani?)
Mimi namtafuta wa mwanza aje songea ruvuma
du tatizo bagamoyo kubwa tungekamilisha deal ila naogopa nisije nikawa sijafanya kitu mi nipo moro manispaa upo shule gani mkuu