Mwl nipo Newala-Mtwara (sec)nafuta mwl wa kubadilishana nae toka mikoa ifuatayo:
TANGA,PWANI,KMANJARO,ARUSHA NA MORO TOWN,Tuwasiliane simu no. 0714566522/0759313494
Kwa anayehitaji kuja musoma mjini atokee Dodoma mjini au morogoro mjini idara secondary!
Natafuta mwalimu idara ya sekondari aje Mara-serengeti,atoke Mbeya,Iringa na Moro.
Kwa anayehitaji kuja musoma mjini atokee Dodoma mjini au morogoro mjini idara secondary!
Vipi kasulu mjin huji
njoo Mwanza npo ilemela manispaa
hapana, tena nipo mjini sema nataka niwe karibu na nyumbani