Mwl SAIDI BAKARI yupo SIHA-KILIMANJARO (sec) anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka TANGA-mjini,korogwe au handeni. Na
0756231236
0714489357
0763407216.
Mimi ni mwalimu athumani a.mngoya, wa shule ya sekondari jaila iliyopo kilindi tanga natafuta mwl. Wa kubadilishana nae kutoka morogoro, kilwa au bagamoyo
kwa mawasiliano; 0752919748/ 0786868480/ 0655 868480
Natwa ANDREW R. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI AJE TABORA MANISPAA. MIMI NAHITAJI ARUSHA, MWANZA JIJI, DAR ES SALAAM, PWANI,, MOROGORO