Master C mimd
Member
- Sep 26, 2019
- 46
- 55
Njoo Ubungo nije Shinyanga mjini
Mbeya kuzur piaMimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Pole mkuu endelea kuwasumbua tu huku ukipiga moyo kondeJamani hii issue imekaaje? Maana mimi nilikamilisha hatua zote na mwenzangu akahamia niliko tangu 2018 lakini mimi sipewi kibali, na nimepeleka nakala mara 2 kwa Katibu Tawala, mara 2 tena kwa Katibu Mkuu TAMISEMI tena pamoja na vivuli hadi vya kibali cha mwenzangu ila bado wamegoma, au ndio mkono mtupu haulambwi??
Daah! Rushwa imekita mizizi zaidi ktk huduma za serikali zama hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Ruangwa upige dili za korosho na ufutaAnayetaka kuja MKoa wa songwe, idara shule ya msingi nataka kuja Mkoa wowote karibia na pwani. Tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo mwalimu ila yeye yupo mkuranga mjini kama utakuwa hujapata wa kubadilishana nae wasiliana nami, anafundisha Kiparang'anda sec,mawasiliano 0683736752Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar.
Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane please.
Njoo Mkuranga mjiniNdugu yangu, natamani sana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili.
Njoo lushoto TangaMimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Sawa piga namba izo hapo mkuu tuongeeNjoo lushoto Tanga
Njoo Mkuranga mjiniNdugu yangu, natamani sana ningebaki Moro bt nalazimika kuhama ili kuungana na familia coz nimeingia ktk ulimwengu wa wawiliwawili.
Aisee sisi tunaotaka kuchomoka Lindi mbona kazi sana kupata mtu wa kubadilishana nae hivi ni kwanini ndo tuseme watu hawapataki Lindi jamani hata wenye kwao hamtaki kurudi?