WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
 
Jamani hii issue imekaaje? Maana mimi nilikamilisha hatua zote na mwenzangu akahamia niliko tangu 2018 lakini mimi sipewi kibali, na nimepeleka nakala mara 2 kwa Katibu Tawala, mara 2 tena kwa Katibu Mkuu TAMISEMI tena pamoja na vivuli hadi vya kibali cha mwenzangu ila bado wamegoma, au ndio mkono mtupu haulambwi??
Daah! Rushwa imekita mizizi zaidi ktk huduma za serikali zama hizi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu endelea kuwasumbua tu huku ukipiga moyo konde

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar.

Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane please.
Yupo mwalimu ila yeye yupo mkuranga mjini kama utakuwa hujapata wa kubadilishana nae wasiliana nami, anafundisha Kiparang'anda sec,mawasiliano 0683736752
 
Naitwa Mwita Samson Wambura nipo Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga,nafundisha s/m Kiguza ipo mjini,natafuta mtu wa kubadilishana nae aje mkuranga Mimi niende Halmashauri ya ya wilaya Morogoro mjini Kama yupo anitafute kwa namba 0748618064
 
Kwa mwenye uhitaji wa kuja Ngara kagera mimi nije mafinga anipm. Mwalimu wa secondary
 
Mimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Njoo lushoto Tanga
 
Aliyepo Korogwe,Muheza, Bagamoyo na Pwani abadilishane na mwl yupo Muleba idara Sekondari.
 
Back
Top Bottom