Haya mwalimu Yuko njombe wanginngombe mwalimu wa hesabu na physic anahitaji kuama kituo chochote kiwe manyara au Arusha au kondoa siyo mbaya kwake msadieni jmn Kama unatka detail Zaid bas nipm nikupe mawasiliano yake
Mwambie aje chemba ipo karibu na kiteto,kondoa,manyara ,babati na arusha,,,,namm nisogee karibu na home mbeya,,,,wasap 0752856319 for more info
 
Jamani njoo singida DC aje..

wilaya yoyote Dar

Bagamoyo

Kisarawe

Mkuranga

Njoo PM please

Idara - secondary
Masomo -English language &literature
Kama unamjua anayetaka kuja Mwanga Kilimanjaro nije Singida mjini nistue

IDARA - SEKONDARI

GEOGRAPHY & COMPUTER SCIENCE
 
Njoo Bukombe_Geita nije Kibaha,Kisarawe,Bagamoyo,Dar.
Bukombe ni jirani kabisa na Biharamulo,Ngara,Kakonko,Kibondo,Chato,Geita Mjini,Mwanza,Kahama na Shinyanga.
Njoo kanda ya ziwa,ule asali,samaki,maziwa na nyama ya ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…