Tangazo:
Natafuta mwalimu Wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Arusha wilaya ya Longido.

Nije mkoa Wa Njombe,Iringa,Mbeya au Songwe wilaya yoyote.Idara Sec.Masomo:English & History

Mawasiliano
0785035428.
 
Natafuta mwalimu Wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Arusha wilaya ya Longido
Nije mkoa Wa Njombe,Iringa,Mbeya au Songwe wilaya yoyote.Idara Sec.Masomo:English & History
Mawasiliano
0785035428.
 
Mimi ni mwalimu Niko idara ya sekondari Longido,ninahitaji mwalimu wa kubadilishana,nije Arusha Dc,au Arusha jiji na ww uje Longido Dc
 
Haya mwalimu Yuko njombe wanginngombe mwalimu wa hesabu na physic anahitaji kuama kituo chochote kiwe manyara au Arusha au kondoa siyo mbaya kwake msadieni jmn Kama unatka detail Zaid bas nipm nikupe mawasiliano yake
Naomba mawasiliano yake Mimi Niko Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…