Njoo Geita_Bukombe,Njoo kanda ya ziwa,njoo ule samaki,maziwa na asali, nije Dar,Pwani (Bagamoyo,Kibaha,Mkulanga),Morogoro Manispaa.
Geita_Bukombe ni jirani kabisa na maeneo yafutayo;
*Kahama
*Shinyanga
*Chato/Katoro
*Geita Mjini
*Mwanza
*Biharamulo
*Ngara
*Kakonko
*Kibondo
Nauli ya kutoka Bukombe kwenda maeneo tajwa hapo juu ni kuanzia 30,000/= hadi Tsh. 10,000/= tu.
Wasukuma,wahaya,wahangaza,waha,wasumbwa Rudini nyumbani kumenoga.
Idara_Elimu Sekondari (Arts_Gs/Civics &History)