Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
mm nimepangiwa Singida vjjn,natafuta wa kubadilishana nae ngaz ya shahada ktk wilaya za mosh mjn,mosh vjjn,hai,siha,morogoro mjn.
Una uhakika gani kwamba ukimaliza bachelor utapangwa Arusha hiyo mwakani?
mimi ni mwalimu wa secondari katika halmashauri ya moshi vijijini natafuta mwalimu wakubadlishana naye kutoka mkoa wa arusha au mbeya, shule inamazingira mazuri ipo marangu maeneo ya marangu mtoni.kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713 562 858.sababu za kuhama ni kuwa mbali na familia yangu, arusha ndipo famlia yangu ilipo mbeya kwa wazazi wangu.
acha upichuHivi na wewe ni mwalimu? Unafahamu neno kupangwa linatumikaje kwenye lugha ya kiswahili? Kila lakheri mkuu we nenda tu ukaandae wanafunzi wanaomaliza std 7 bila kujuwa kuandika.