WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mimi ni mwalimu wa secondari katika halmashauri ya moshi vijijini natafuta mwalimu wakubadlishana naye kutoka mkoa wa arusha au mbeya, shule inamazingira mazuri ipo marangu maeneo ya marangu mtoni.kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713 562 858.sababu za kuhama ni kuwa mbali na familia yangu, arusha ndipo famlia yangu ilipo mbeya kwa wazazi wangu.
 
ina maana ulipokuwa unapangiwa kituo cha kufanya hukujua kwamba utakua mbali na familia? Lakn kwann usichukue familia yako uwe nao huko marangu?
 
nililijua hilo bt ckupanga kuwa moshi, sasa kama hupendi kaa kimya wanaohitaji watanitafuta
 
natafuta mwalimu shule ya msingi ajira mpya aliyepangwa wlaya ya Arusha tubadilushaishane yeye aende Lushoto mi nibaki Arusha, nicheki 0762875137
 
natafuta mwalimu shule ya msingi ajira mpya aliyepangwa wlaya ya Arusha tubadilishane yeye aende Lushoto mi nibaki Arusha, nicheki 0762875137
 
Una uhakika gani kwamba ukimaliza bachelor utapangwa Arusha hiyo mwakani?
 
mimi ni mwalimu wa secondari katika halmashauri ya moshi vijijini natafuta mwalimu wakubadlishana naye kutoka mkoa wa arusha au mbeya, shule inamazingira mazuri ipo marangu maeneo ya marangu mtoni.kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713 562 858.sababu za kuhama ni kuwa mbali na familia yangu, arusha ndipo famlia yangu ilipo mbeya kwa wazazi wangu.

Pole fight utatoka 2 ila itakuchuka muda vumilia kidogo.
 
nitafute kwa hiyo namba hapo juu tuulizana maswali kidogo
 
Ndugu zangu mi nipo arusha na nimepangiwa ajira mpya kagera-karagwe nahitaji mtu aliepangiwa arusha wa kubadilishana nae aende karagwe....namba zangu ni 0767131671
 
wewe jiandae tu kwenda huko....na usisahau kubeba majembe maana ukifika huko lazima ujishughurishe na kilimo cha ndizi,maharage na kahawa ndio kinawatoa walimu wengi.....
 
Back
Top Bottom