WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo karagwe-Kagera nije Manispaa ya Mwanza,Dodoma na Morogoro Idara ya msingi
 
Anaetaka kuhamia kusini yani Lindi na Mtwara kutoka mbeya,kilmanjaro,arusha,manyara na tanga idara ya sekondari tuwasiliane 0789585414
 
Njoo CHATO _GEITA(sec) dogo aje DODOMA MANISPAA au MORO MANISPAA. 0764264315
 
Anayetaka kuhamia Iringa manispaa kutoka Dar...Shule ya sekondari:tuwasiliane
 
kuna wale wadau waliotaka kuja mbulu me nirudi mwanza contact zimepotea jamani plz naomba mnicheki kwenye 0718 278465
idara ya sekondari
 
NIPO MTWARA WILAYA YA MASASI natafuta mwalimu wa idara ya msingi wa kubadilishana nae aje Masasi mi nije ARUSHA /
KILIMANJARO
Mawasiliano:gmkumbwa45@gmail.com
0757974776
 
Wale mnaotaka kutoka NJOMBE wilaya yoyote kusogea mikoa ya kanda ya ziwa, nipo SHINYANGA VIJIJINI, tubadilishane, shule ipo karibu na senta kubwa ambayo ina mahitaji yote. Idara ya MSINGI. Karibuni nyote tuwasiliane kwa no; 0764205502 au 0788087771.
 
Jaman wale wanaotaka kuja tabora urambo mjini kutoka dodoma,morogoro,iringa,njombe,rungwe,mano,kyela,mbozi,mbeya vjjn,rukwa na ruvuma. IDARA YA SEC CONTACT.0688487920. TSH 200,000/= IPO KWA AJIL YAKO. KARIBU.
 
Mimi mwl idara yamsingi namtafutafuta wa kubadilisha yeye aje mwadui shinyanga,mimi nije wilaya yeyote arusha,mawasiliano 0765585990 au 0782790757
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…