MTUNZA AMANI
Senior Member
- Jun 2, 2012
- 187
- 21
Urambo mjini shule gani mkuu?
Serengeti vp Mwl.?
Mwalim anaetaka kuja halmashaur ya wilaya ya karatu mkoa wa arusha na mimi nije wilaya yoyote ya mkoa wa mwanza ispokua ukerewe. Contact 0757378561;0782753608
Njoo babati nije mwanza 0765900781
Kama Wewe Ni Wa Idara Wa Msingi Piga 0758270798
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
mi np dodoma, wilaya ya mpwapa..mwalimu waa shule ya msing aliyepo kilimanjaro au tanga tubadilishane kitue.nichek 0713022370
Npo Chamwino nataka kwenda Iringa mjn jaman
Mimi nipo Dodoma (Chamwino) nataka wakubadilishana nae kutoka Moro mjin.