Tafadhari mimi mwalimu wa shule za msingi nipo wilaya ya Bagamoyo natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka wilaya ya Mtivila ambaye anataka kuhamia Pwani na Dar es salaam tuwasiliane kupitia ukurasa huu. Asante.
weka namba!
bagamoyo shule gan upo?
Njoo musoma mi nije huko
mi nipo mahenge nahitaji wa kubadilishana naye kutoka tandahimba-mtwara
Tuwasiliane kwa 0788769910.
Walimu hamuwazi kufundisha,nyie mmekalia kuwaza kuhama tu?ebu chapeni kazi bwana,kwan mishahara c mnapata,na mnahama ili iweje?
Uko tayari kuja Urambo? Mi nimepachoka sana.
Mimi nipo kigoma nipigie 0759806,pia kama mtu yupo wa kuja kigoma na mimi niende sumbawanga na wilaya yoyote ya rukwa na mbeya