WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Tafadhari mimi mwalimu wa shule za msingi nipo wilaya ya Bagamoyo natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka wilaya ya Mtivila ambaye anataka kuhamia Pwani na Dar es salaam tuwasiliane kupitia ukurasa huu. Asante.

mjulishe mwingine maana sio wote wanapita humu.
 
Walimu hamuwazi kufundisha,nyie mmekalia kuwaza kuhama tu?ebu chapeni kazi bwana,kwan mishahara c mnapata,na mnahama ili iweje?
 
mi nipo mahenge nahitaji wa kubadilishana naye kutoka tandahimba-mtwara
Tuwasiliane kwa 0788769910.
 
Mimi nipo kigoma nipigie 0759806,pia kama mtu yupo wa kuja kigoma na mimi niende sumbawanga na wilaya yoyote ya rukwa na mbeya
 
Nafundisha wilya ya kilombero secondari.nahitaji mwl wa kubadilishana naye toka wilaya ya
mbeya mjini.
Ni pm
 
Kabla ya kuchangia mawazo, ninaomba mtoa ombi anieleze Wilaya ya MTIVILA ipo mkoa gani hapa nchini.
 
naitwa mwl omari wa mtwara wilaya ya tandahimba natafuta mwl yeyote wa kubadilishana nae kutoka mkuranga au Temeke,namba za cm 0782375646.
 
Back
Top Bottom