WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara ya sekondari, ambae yupo tayari
naomba tubadilishane vituko vya kazi aje Dodoma manispaa mi nihamie Dar es salaam
naomba tuwasiliane tafadhali
ahsanteni
 
Mwalimu idara ya sekondari, ambae yupo tayari
naomba tubadilishane vituko vya kazi aje Dodoma manispaa mi nihamie Dar es salaam
naomba tuwasiliane tafadhali
ahsanteni
kwa nini upate shida,tufunge ndoa uhamie dar kiulaini!usihofu baada ya ndoa hatujuani ila vyeti nitakaa navyo mimi!!
 
kwa nini upate shida,tufunge ndoa uhamie dar kiulaini!usihofu baada ya ndoa hatujuani ila vyeti nitakaa navyo mimi!!
Mi sitaki mashart bana mwisho utake na kunizalisha bure, nataka mwalimu wa kubadilishana tu
 
Aliepo tabora mjin naomba tubadilishane aje kasulu mjin idara ya sec ni pm
 
Msaada tafadhali wana jamii wenzangu. Idara ya sec. anayeweza kunisaidia jinsi ya kuandika barua kwenda tamisemi ddm na pamoja na box la tamisemi. Kuna mtu wa tamisemi amenambia niandke nimplekee.

Ndg,naweza pata mawasiliano ya huyo mtu wa TAMISEMI,nahtaji anifanyie mchakato fulani pia.
 
NATAFTA MWALIMU WA SEKONDARI WA KUJA BARIADI MJI NAMI KWENDA IRINGA,MOROGORO NA MBEYA. MAWASILIANO 0768111628 au 0769109775

Mbona hueleweki. Mara unataka kwenda kasulu. Sasa umwbadilika kama kinyonga unataka kwenda morogoro, iringa na mbeya . Unatuchanganya. Simama kwenye msimamo 1.
 
Natafuta wa idara ya sec. Aje karatu me nije mwanza wilaya yoyote ispokua ukerewe. Tutafutane aisee 0757378561
 
Pia anaetaka aje karatu dogo langu aje morogoro mjin, mvumero, tanga mjin, au lushoto 0754800496
 
Wandugu anayetaka kuja wilaya ya nyasa mkoa wa Ruvuma mi niende Njombe, mfindi au Iringa.
 
mwalimu wa sekondari anayetaka kuja Songea manispaa,kutoka dar,kibaha na moro manispaa,nicheck 0787419289 call or sms
 
Mbona hueleweki. Mara unataka kwenda kasulu. Sasa umwbadilika kama kinyonga unataka kwenda morogoro, iringa na mbeya . Unatuchanganya. Simama kwenye msimamo 1.
Usinihukumu kaka. Mimi ndo natafuta WA kuja bariadi mi niende kasulu. Kama upon tayari Sema nami

Pia kuna mwalim mwingine nimemrushia tangazo ndo Huyo anataka Moro.mbeya name iringa il I atoke bariadi.umenielewa kaka
 
Usinihukumu kaka. Mid natafuta WA kuja bariadi mi niende kasulu. Kama upon tayari Selma nami

Pia Luna mwalim mwingine nimemrushia tangazo ndo Huyo anataka Moro.mbeya name iringa il I Stoke bariadi.

We mwl. Kuwa serious na maandiko yako. Maneno haya unataka kusema nini?
1. Mid
2. Upon
3. Selma
4. Luna
5. Name
6. Upon
7. Stoke
Nakushaur nenda kwenye setting, language imputs, keyboard then kuna setting hapo anza kukontrol simu yako.

Offensive words zikatae, aggressive auto correction zikatae n.k

La sivyo wanafunzi hawatakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…